Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Katika matukio yaliyotrend week iliyopita moja wapo ni wedding reception ya Mboni Masimba,mwanamama machachari mwenye kipindi chake TBC -Mboni talk show. Mboni aliolewa na bwana Tajiri mwezi mmoja...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawasilisha kwenu wakuu. nimekuwa na safari nyingi na mwili umechoka sasa. Kama sio Magomeni basi iwe karibu.Au kama una contacts zao nimlete hapa kwangu.
1 Reactions
33 Replies
8K Views
Mtu anae fanya mazoezi ya kukimbia anaweza ondoa kitambi au mpaka aende jim.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Cerave moisturizing Cream gharama yake 70,000/= anayejua mengine yenye gharama zaidi atujuze...Uzi tayari
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Ni cerave moisturizing Cream Bei yake ni 70,000/= anayejua yenye gharama zaidi atujuze Uzi tayari.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hali zenu wote wana JF. Zifuatazo ni body scrub zitakazokutakatisha mwili,matumizi yake ni kila wiki mara moja. [emoji254]UNGA WA KAHAWA NA MAFUTA YA NAZI. vichanganye vyote ivo upate ujazo ambao...
11 Reactions
22 Replies
21K Views
Sina hata haja ya kusalimia, Kama kichwa cha habari kinavyo sema, naombeni mueleze wazi kabisa kwanini nyie wanawake mkisha olewa mnajisahau na badala yake mnakua rafu sana? Kila saa makanga kila...
12 Reactions
24 Replies
3K Views
Bandugu nina wahi sana kuota ndevu na masharubu(timba) yaani nikinyoa hazipi siku tano yashajaa tena haswa haswa hizi timba ndiyo kero kabisa. Nikisema nikae mwezi bila kunyoa unaweza sema...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
  • Redirect
Poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. Ninaomba msaada wenu wa mawazo kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Moja: napenda kufahamu kwanza tofauti kati ya BODY SPRAY, PERFUME, DEODORAT...
1 Reactions
Replies
Views
Je unaujua mfuko mdogo katika suruali yako ya Jeans? Ndiyo, ule ambao umeshonwa juu kidogo ya mfuko mkubwa wa kulia. Umewahi hata mara moja kusimama na kujitafakari kwa nini huo mfuko mdogo mbele...
27 Reactions
69 Replies
21K Views
Baadhi ya wanawake/kinadada ni janga. Unakutana na mwanamke kwenye daladala sjui ni wigi linatoa uvundo ama ni yeye mwenyewe basi ni karaha tupu. Ukimuangalia usoni make up ya maana! Mkononi...
19 Reactions
88 Replies
11K Views
Hawayuni wakuu, mko poa! mimi huwa nanyoa kipara mara nyingine kwa mashine mara nyingine nanyolewa na kiwembe, shida moja japo watu huniambia upara wangu uko sawa lakini mimi napenda ung'ae uwe...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu nipo Dodoma mjini natafuta fundi anayeshona vizuri nguo za kike nataka nishone nguo ya shughuli, naombeni anayemfahamu kwa hapa Dodoma anielekeze mahali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiukweli japo wanasema uzuri uko machoni mwa mtazamaji, lakini to some extent tunaweza kukubaliana kuwa msichana fulani ni mzuri sana, mzuri kiasi au wa kawaida. Sasa tatizo unakutana na msichana...
6 Reactions
84 Replies
14K Views
Kwa arusha mjini naweza pata wapi unga wa multan mitti?
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Jamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge...
8 Reactions
40 Replies
4K Views
Mara kadhaa ukipanda Ndege za Shirika fulani (jina kapuni) unakuta Ma-Air Hostess ngozi zao ama zimekakamaa kama mamba au rangi zaidi ya moja kutokana na mkorogo. Tujifunze angalau hata kwa wenzetu.
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mzuka wanaJF! Yani gauni tu gharama yake ni zaidi ya kiwanja, zaidi ya IST ada za shule za watoto kadhaa. Wote tu tutarudi mavumbini. It's fundamentally wrong and totally unacceptable to spend...
3 Reactions
66 Replies
6K Views
Wakuu, Mtindo wa maisha unabadilika kwa kasi sana,Mojawapo ya mitindo ni wanawake kuvaa saa za kiume mkononi. Je unadhani mwanamke anapendeza zaidi akivaa saa ya Kike au ya kiume? na ipi...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Nilikuwa nimesiti zangu sehemu fulani hapa katikati ya jiji. Pembeni yangu kulikuwa na majamaa wawili walikuwa wamekaa pia sasa mmoja nikasikia anamuuliza mwenzake kwamba "vipi mbona unavaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom