Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Miswaki ya siku hizi haina ubora kiukweli. Mi ni mtu nazingatia sana usafi wa kinywa ila naangushwa na miswaki ya siku hizi, Whitedent ndo ilikuaga miswaki yangu bora ila naona nao wameanza...
4 Reactions
54 Replies
9K Views
Helo guyz naiman hapa ni jukwaa la lenye watu wengi wa kada tofauti na ujuzi tofauti ilatunashea ujuzi wa kisayansi na kiteknolojia apa. Ninahitaji kupewa ushauri / kupewa mchanganuo pia wa...
3 Reactions
44 Replies
7K Views
Direct to the point, nataka kujua tu kwa uzoefu wenu wana JF hasa katika jukwaa hili la Urembo. Naomba kujua kati ya body spray na roll-on deodorant ipi inafaa kwa matumizi zaidi nyingine...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukienda saloon foleni ya wanaume wanaosuka corn row, extension, na weaving ni kubwa kuliko wanawake. Wengine hushinda hapo wakifanyiwa manicure na pedicure. Wanaume hawa wamekua washauri wetu...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna mabadiliko makubwa sana ya kasi katika tasnia ya mavazi hasa kwa mabrazameni na wadada wa kisasa. Mavazi yanafanana kwa ukaribu sana kiasi kwamba inanipa tabu kujua jinsia hadi niangalie...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart...
38 Reactions
339 Replies
50K Views
Kwa sasa unajipuliza pafyum gani [emoji848] Mimi Sauvage by Dior, wewe je?
6 Reactions
122 Replies
35K Views
Tangu 2015 nlikua na ndoto za kumiliki creed Aventus kwasab niko addicted na mambo ya unyunyu, hatimae baada ya kushinda betting wiki iliyopita nimefanikisha ndoto yangu ya kumiliki unyunyu wa...
14 Reactions
39 Replies
6K Views
Bir erkek olarak kişisel bakımıma nasıl başlamalıyım, ne kullanmalıyım, bilgili ve yardımcı olabilecek biri olursa sevinirim :) Kusursuz bir cilt için hangi kremi kullanmalıyım?
0 Reactions
0 Replies
972 Views
habarin za muda huu... nije kwenye mada tajwa hapo juu hivi ni kwel hizi dawa za kuotesha ndevu zinafanya kazi kwa waliowahi kuzitumia tupeni mrejesho NAWASILISHA
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Inaelekea huyu alikuwa mke wa Mtemi au Chifu. Amevaa nguo ya hariri.
10 Reactions
10 Replies
4K Views
Kuna nyumba niliingia hivi karibuni dah ilikuwa ina nukia harufu nzuri ajabu Nimejikuta niko curious na nini hasa wanatumia hadi nyumba inanukia vile Nilishindwa kuuliza sababu kilichonipeleka...
22 Reactions
156 Replies
71K Views
Wakuu habarini Naombeni msaada wa mafuta mazur ya nywele ambayo yatanisaidia kurefusha nywele na kuzfanya ziwe nyeusi na muonekano mzuri wa kuvutia maana wengine tuna nywele za vipili pili...
1 Reactions
41 Replies
16K Views
  • Redirect
Slim women! Beautiful and fashionable!
1 Reactions
Replies
Views
Habari wana JF Hebu tupeane uzoefu wa mambo ya fashion kuhusu vifungo vya shati kukaa mkono wa kushoto au wa kula. Kuna ukweli wowote kwamba vifungo vikikaa mkono wa kilia ni shati la kiume na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana Jf habari za muda huu, Bhana nimesagula viwalo vyangu mnadani ila kila nikivifua harufu ya mtumba haiishi. Nimetumia sabuni kama aerial, Omo, jamaa ila wapi kitu hakitoki. Naombeni...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Habari, Nimekutana na jamaa angu ananiambia kwa asilimia 70 ya mafuta ya olive oil tunayonunua ni fake, Tafadhari naomba kupata mwongozo ni wapi ambapo nitapata Olive oil pure.
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu wanaJF Kuna umuhimu wa kuogea sabuni yenye harufu nzuri tena ambayo mpenz wako anaipenda, ama waweza kuogea sabuni yoyote hata Omo ilimradi uwe umeoga? Nimeuliza hivi kwasababu sabuni...
1 Reactions
163 Replies
30K Views
Habari wapendwa,, Kati ya vitu ambavyo binadamu analazimika kutumiakila siku Ni mafuta ya kujipaka. Katika uhitaji huu, wafanyabiashara nao wamekukuwa wakibuni aina mbalimbali za mafuta ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Niajabu waswahili tunatabia kufua chupi kwa siri yale maji ya mwishoo bafuni. baada ya kuoga afu tunaenda kuanika hadharani kama chupi ni siri sirini kwanini baada kuifua utuonyeshe anika chimbo...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom