Nawezaje Kupata Mafuta Original ya Olive

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,708
1,553
Habari, Nimekutana na jamaa angu ananiambia kwa asilimia 70 ya mafuta ya olive oil tunayonunua ni fake, Tafadhari naomba kupata mwongozo ni wapi ambapo nitapata Olive oil pure.

images%20(83).jpg
 
tangu nianza kutumia mafuta haya kupikia, sitamani kuyacha, ni mafuta mazuri mno, ila ni gharama mno aisee. labda tujuzane tu yaliyo original zaidi. nimetumia zaidi yale ya spain, though Italy nayo ni bora (vitu vingi vya italy ni vizuri kwani wao pia ni part of the mediteranean people upande wao wa kusini hasa sisily etc), ukipata ya Israel au Lebanon nayo nahisi yatakuwa original zaidi.
 
Ya Spain yale Rafael Salgado au ?
 
Back
Top Bottom