Hili gauni la Beyonce!

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
50,284
70,691
Watu wanajua kutengeneza magauni ,,,halaf kama linatisha hiviii au macho yangu tu
Screenshot_2017-02-16-19-32-29-1.png
Screenshot_2017-02-16-19-33-23-1.png
Screenshot_2017-02-16-19-33-14-1.png
Screenshot_2017-02-16-19-32-54-1.png
Screenshot_2017-02-16-19-32-37-1.png
 
Mastaa huko nchi za wenzetu wakipigwa mimba huzaa,mastaa bongo wakipigwa mimba wanazichoropoa na wakifia muda wa kutaka kuzaa hawapati mimba na kukimbilia kwa waganga wa kienyeji bila mafanikio.
 
sasa unategemea wasiwe illluminati? angalia tu mienendo yao,ina potray ushetani kabisa.hata majina ya watoto wao,daah yan i wish ungejua Dinah
Yaan hilo gauni mmmmh litakuwa na maana nyingi sanaa na style aliyovaa
 
Back
Top Bottom