Kufuga hizi nywele yataka moyo kwelikweli. Zinakera na kuujaza moyo hasira unakuwa mtu wa stress pasipokuwa sababu!
Kibaya zaidi huwezi kugundua kwamba ndizo zinazokupa stress hadi siku ukinyoa...
Nafikiri kwa kifupi tu.
Naambiwa akina dada miili yao ni sensitive yaani ukimgusa mdada hasa sehemu fulani za maungio ni rahisi kupandwa na ashki..
SASA SWALI LA KUJIULIZA...
Hivi ni kwanini...
Mke wangu ana vipele vingi usoni na ameshauriwa na wingi atumie sabuni ya zoazoa. Wasiwasi wangu ni isije ikamchubua akaanza kuwa mweupe.
Wadau, kabla hajaanza kuitumia ningependa kujua kama hii...
Wanawake wanapata tabu sana kujikubali miili yao mpaka kuingia katika vishawishi vya kutumia dawa za kichina au kwa wenzetu nchi zilizoendelea kama marekani hufanyiwa operesheni au surgery...
Shostito kapita hapa yaani hata hamu ya kumwangalia imekatika gafulaa...perfume ya leo in harufu ka ya mkojo..full kichefu chefu
NB: Jifunzeni kuchagua perfume, perfume sio nzuri ka wewe...
Hupunguza nguvu zakiume kwa kiasi kikubwa ........
Soma kwa umakini point number 5 iko ktk red ink
Now read this
14 ways to naturally Increase your testosterone
1. Get more Zinc
Zinc is...
Visit: YNS.apg-ea.com
Call: 0736 937 937
We are offering short courses and workshops in Fashion Design, led by Yvonne Njau. Yvonne is a Tanzanian Fashion Designer studying in IFA Paris, France...
Heshima wakuu,
Nachukua nafasi hii kuwashukuru wale wote waliacha kuvaa vimawigi. Kwanza mlikuwa hampendezi, hata sijui nani alikuwa kawafundisha.
Baada ya kuachana na mawigi, wengi huwa...
Nimetokea kuwa mpenzi sana wa kupiga dongo...kupiga kipara..kunyoa kipara. Na hii ilitokea baada ya kugundua kuwa kuna vitu flani vya kijinga ila vinavutia sana na sana sana upande wa akina dada...
Kwa nini waafrika wanajibadilisha rangi?
Mitindo ingekuwa na maendeleo kiasi gani bila uwepo utumwa na ukoloni?
Katika mfululizo wa Barua kutoka kwa Waandishi wa habari wa Afrika, Mwandishi na...
BAADHI ya wanaume nchini wanatajwa kuwa kichocheo cha wanawake kutumia vipodozi vyenye viambata vya sumu ambavyo vimekuwa vikiwapa madhara ya ngozi.
Hayo yalielezwa Dodoma jana na Meneja wa...
Kiatu cha OXFORD (the oxford shoes) ni viatu ambavyo vimetokea kupendwa dunia nzima , vikitofautina kidogo na DERBY SHOES .
Sehemu ya kwanza kuonekana aina hii ya viatu ni Scotland na Ireland ...
Naomba msaada wa kuelimishwa juu ya namna ya kuondoa kovu kwenye paji la uso kwa mtu ambae aliwekewa akiwa mdogo, kovu linakua kama jinsi ilivyo ndonya (shilingi) au kama wanavyowekewa kabila la...
Uzi huu ni maalum kwa wale ote wenye nywele za singa,tumeane dondoo jinsi ya kuzitunza kama mafuta na mengine mengi ili ziwe za kuvutia zaidi.
Nawasilisha
Napenda kutumia nafasi hii kuwapa salam wote ninyi wahangaikaji ndani ya uzini huu special ,asallam,samahani naomba aliye na ujuz wa wakurefusha ndevu.ziwe ndefuu na Nene nyeusi tafadhil sana...