Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Tuambie nini kimekosekana au kimekosewa hapo ( kwa wale classic men wenzangu) Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
35 Replies
6K Views
Wakati janga jipya la virusi vya corona lilipoibuka duniani limesababisha kila kitukikwame. Ugonjwa huu umekuwa na atharikubwa katika karibu kila sekta, hasa biashara yamitindo ambayo ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Amani iwe kwenu Kwa Mara kadha wa kadha nimekuwa najiuliza maswali machache juu ya wanaume wanaovaa hereni hasa wasanii na wachache wasio wasanii. Kutokana na hali hyo nimejiuliza maswali...
5 Reactions
65 Replies
19K Views
Wakuu mimi napenda sana kuvaaa 'kacha' (Culture) za shanga wanazovaa Wamasai na napenda kuvaa za bendera za Africa, ila kuna watu huwa wananiambia hizi kacha wanastaili wavae watoto wa kike. Je...
0 Reactions
32 Replies
11K Views
Habari zenu wanajukwaa..,Mimi naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri yaani ki (Gentleman) ya Bei Rahisi kwanzia Buku5-10...?? NOTE:HALI YANGU YAKIPATO NI NDOGO NDIO MAANA...
2 Reactions
125 Replies
25K Views
Habari zenu wana JF, Naomba ushauri wenu nataka kununua body spray ya kiume lakini sijui ipi ni nzuri nataka body spray isiyo na harufu kali na inayokaa muda mrefu angalau masaa 7 na kuendelea...
1 Reactions
117 Replies
43K Views
Unanunua raba nyeusi ya turubai ambayo hupati kirahisi aina hiyo tena. inapauka ikiwa mpya. unairudishiaje weusi tii wake?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu saalam nyingi kwenu poleni na majukumu ya kulijenga taifa na familia zenu. Kijana mwenzenu nimekata shauri ya kuwa na mke hivo nimeanza mchakato wa kufunga ndoa. Ninaomba ushauri wa rangi...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Hello wakuu, Leo nimekumbuka enzi za utoto wangu wanaume walikuwa wanabeba briefcase. Kwa wasiozijua naomba mzingatie picha. Wanaume walikuwa wanaenda na kurudi nazo kazini. Najua hata sasa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu Habarini. Nna issue moja inanisumbua sana nimeona nije hapa nipate ufumbuzi. Nina tatizo la kuota ndevu kwa haraka sana nadhani kuliko binadamu wa kawaida yoyote. Bahati mbaya sana kazi...
7 Reactions
110 Replies
46K Views
Makuti ni majani ya minazi yanayopatikana katika mikoa ya kando ya bahari hasa katika nchi za kitropiki. Makuti husukwa viungo na viungo hufungwa kwenye miti au mbao za nyumba ili kuzuia jus na...
6 Reactions
13 Replies
4K Views
Ndo hivyo tu, mitumba imenichosha ngoja nami nijaribu upepo wa huku.
4 Reactions
28 Replies
5K Views
What makes you a man? Perhaps in every man lies this kind of sense, what makes him stand out from all the other men, the important things that add to your confidence, to your values and most...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba mrejesho kwa aliyetumia haya mafuta
2 Reactions
19 Replies
8K Views
Habari wakuu , natumaini tunaendelea vyema na majukumu ya kila siku . Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu ,nina shida ya nywele zangu kuwa na uweusi wenye rangi ya ugolo kwa mbali...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi muhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili japo kidogo kwa...
5 Reactions
320 Replies
374K Views
Habarini wadau. Naomba kujuzwa wapi naweza pata perfume ya Olympea na bei yake? Ahsanteni.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji suti ya harusi, bei poa, kali na yenye rangi ya kisasa. Nijuzeni ni rangi gani nzuri na nitapata wapi kwa hapa Dar. Asante.
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari njema kwa wale mashabiki wa muziki wa lady jaydee pamoja na ma haters wote, kama inavyoonekana kwenye picha , kama hujui kusoma nitakusaidia ku translate maana wengine ata ku google hawajui...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Diana alikuwa binti mrembo sana mtaani kwao. Alishinda na bibi yake tangu akiwa mdogo, hii ilitokana na kuvunjika kwa ndoa ya wazazi wake na mama yake kurudi kwao Burma. Vijana wengi...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…