Kwani kuna tatizo mwanaume kuvaa 'kacha' (Culture)?

G_real

JF-Expert Member
Aug 23, 2019
684
851
Wakuu mimi napenda sana kuvaaa 'kacha' (Culture) za shanga wanazovaa Wamasai na napenda kuvaa za bendera za Africa, ila kuna watu huwa wananiambia hizi kacha wanastaili wavae watoto wa kike.

Je, ni kweli au?

IMG_20191112_121638_0.jpeg
californiatz-20191106-0008.jpeg
 
Sishangai, ila mimi mwenyewe siyakubari kabisa! Shanga, vitege, madela ya wanaume siamini kama naweza vaaa
 
Back
Top Bottom