Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Ngozi inaharibika sanaa ukizeeka pia Mbona kuna wabibi wana ngozi nzuri sanaa na wamezeeka tuache kutumia vipodozi vikali Mwanaume atakupenda tu hata ukiwa wa njano au mwekundu ukiona hajakupenda...
32 Reactions
395 Replies
10K Views
Najua wengi wamekua wakitamani kupunguza mwili/unene bila mafanikio, unafanya mazoezi, unafanya diet llakini hupungui, Leo ntakupa somo ili uweze kupunguza mwili kadri unavyotaka wewe, utaambiwa...
5 Reactions
4 Replies
10K Views
Zilikua zinawapendeza ila kwa uchunguzi wangu nilioufanya ,nimegundua siku hizi hawazivai. Shida nini wakuu?
8 Reactions
91 Replies
10K Views
Binti Sahar Tabar wa Iran mwenye miaka 19, amefanya upasuaji wa sura yake mara 50 ka gharama kubwa ili afanane na muigizaji wa Marekani Angelina Jolie. Nini maoni yako
0 Reactions
85 Replies
10K Views
Habari zenu Waungwana, Kuna jambo nimeliona jana saloon hata sijapenda, nimekwenda kufanya body wax na kutoa nyusi kufika namkuta mkaka ameshikilia nyusi lina guna tuu mmh,mmh, hakuishia hapo...
7 Reactions
100 Replies
10K Views
Wakuu mimi napenda sana kuvaaa 'kacha' (Culture) za shanga wanazovaa Wamasai na napenda kuvaa za bendera za Africa, ila kuna watu huwa wananiambia hizi kacha wanastaili wavae watoto wa kike. Je...
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Mimi niwe mkweli, nikiwa hostel nabadilisha mara 1 kwa week. Kla jumapili nabadilisha. Nikiwa nyumban nakutaga tu mama amebadilisha. Sijui huwa anabadilisha mara ngapi 🤷 Kna huyu dada roommate...
1 Reactions
99 Replies
10K Views
Wanajukwaa kama mada inavyojieleza hapo juu mimi ni mama wa makamo( miaka 35) nimejishangaa ghafla nimebadilika umbo langu bila kutegemea nilikuwa na umbo zuri kwa kweli sikuwa na tumbo kabisa...
4 Reactions
51 Replies
10K Views
Wanaume wengi Mara nyingi huwa hawajali sana suala la kuhakikisha kile anavaa kinaendana. Unakuta mtu ananunua shati, tshit au suruali bila kuplan ataimatch na nini mwisho wa siku wengi...
4 Reactions
17 Replies
10K Views
Dah! Jamaa huyu jamaa hivi ni ubahili au nini? Mbona anavaa kishamba sana?
7 Reactions
50 Replies
10K Views
Sitaki kusema mengi ila kama ni mwanaume Mimi tu ndo zinanipa tabu basi sinabudi kuvumilia. Kiukweli nikikutana na mdada amevaa hizi awe mwembamba au mnene napata shida Sana hasa ukute shape...
1 Reactions
39 Replies
10K Views
Hongereni sana Akina dada wote ambao hampaki make up na Bado mnapendeza. Mnanyoa na Bado mnapendeza. Amen!
31 Reactions
343 Replies
10K Views
Wakuu. Sio kila aina ya nguo inamfaa kila mtu, kuna mawazi ya yanawafaa watu wenye maumbile flani na mengine hayawafai watu wenye maumbile flani. Wanaume warefu kaptula hazitufai, hizi zinawafaa...
9 Reactions
57 Replies
9K Views
Jaman kwa yyt anayejua dawa za kisuna zinazorefusha nyele anitajie au anielekeze dawa yyte ya kienyej inayorefusha nywele
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Habari wapendwa. Karibuni tujifunze jinsi ya kutunza nywele zetu. Mimi napenda sana nywele ndefu.kwa kushirikiana pamoja tunaweza kujuzana ni mafuta gani unapaka ,na stiming gani unatumia ili na...
4 Reactions
21 Replies
9K Views
Habari wana forums naomba 2share mawazo wanaume zipi sifa au mambo muhimu kwenye chumba cha kulala cha mwanaume Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
43 Replies
9K Views
Miswaki ya siku hizi haina ubora kiukweli. Mi ni mtu nazingatia sana usafi wa kinywa ila naangushwa na miswaki ya siku hizi, Whitedent ndo ilikuaga miswaki yangu bora ila naona nao wameanza...
4 Reactions
54 Replies
9K Views
Back
Top Bottom