Sketi za mpira, na vigauni vifupi vya mpira

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
897
500
Sitaki kusema mengi ila kama ni mwanaume Mimi tu ndo zinanipa tabu basi sinabudi kuvumilia.

Kiukweli nikikutana na mdada amevaa hizi awe mwembamba au mnene napata shida Sana hasa ukute shape kajaaliwa. Hata kama kuna jambo nafanya muhimu napoteza concentration kabisa naeza haribu
Kazi tafadhalini na samahani kama nawaudhi kwa kusema haya.

Najua ni fashion ila nasema kwa uchungu siwezi kujizuia mpasuko wa moyo naoupata
Naeza zuia hata pumzi kama dakika 1 hivi
Afadhari nikiona kavaa suruali hizi nguo za kushika enzi zinaanza kuingia zilinifanya nihangaike sana hata nione kwenye music video shida nayopata sio Kawaida.

Ni hayo tu dada zangu
Screenshot_20190608-093430_1.jpeg
FB_IMG_15585113953111513.jpeg
FB_IMG_15582002037303694.jpeg
Screenshot_20190620-181009_1.jpeg
 

1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,640
2,000
Hivi Wanawake wa Kiafrika Nywele zao zimeenda wapi?

Tunawafundisha nini watoto wetu,?
Kwamba Waafrika wamepungukiwa na sura na hawana Nywele nzuri mpaka waweke uchafu kichwani ili zionekane kama za wahindi au wazungu?

Waafrika ni viumbe wa ajabu sana.
Wamejaliwa kila kitu kizuri lakini hawajui kila kitu kizuri zaidi ya kuiga.

Wanaume nao wamekua punguani kwa kuiga mapenzi na tamaa za kizungu na kiarabu na sasa wanatamani makalio na njia ya kinyesi.
Pu mbavu za mbwa kabisa!!!**##***
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom