Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Lijitu zima kabisa linatoka kwake Mkewe na Watoto wake wanamuona kabisa jinsi alivyounyuka / alivyopendeza na Vazi lenye ' heshima ' kubwa duniani na nahisi hata huko Mbinguni pia la ' Suti '...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
hello warembo na watanashati, Ni lotions gani za wadada ambazo ni maarufu ila hajizapigwa marufuku, sio fake na ni nzuri kwa viwango vyake, zenye bei ya kati 5,000-20,000. Sio vibaya ukinitajia...
2 Reactions
43 Replies
18K Views
Nimekuwa nayatumia haya mafuta huku sehemu ya baridi. Lakini leo nimejiangalia kwenye kioo nimekuta ngozi ya uso haifurahishi na imetoka vidoa vyeusi! Je, mnaotumia nanyi mnasemaje?
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari wana forums naomba 2share mawazo wanaume zipi sifa au mambo muhimu kwenye chumba cha kulala cha mwanaume Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
43 Replies
9K Views
Kuna wadada mpaka leo wanaamini kua sisi wanawake tunaweza kufanya kila kitu wanaume wanafanya, My dear wewe unaweza kuvaa nguo ya ndani moja kwa wiki nzima? Tukubali tu vitu vingine ni wao tu...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Ivi in kweli bia inaondoa dawa ya nywele? Au nifanye nini kuondoa dawa katika nywele zangu?
2 Reactions
43 Replies
25K Views
Kinadada wengi wamekua wepesi kudanganyika na hata kupuuza rangi zao za asili, kitu ambacho kimefanya wengi ku bleach ngozi zao na kuishia kuziaribu kabisa Embu tazama thamani na uzuri...
4 Reactions
43 Replies
9K Views
Mambo vp wakuu shikamoni Kama kuna mtu anayajua mafuta ya kupaka kwa ajili ya wanaume yatakayofanya sura yangu kidog iwe smart maana sina matunzo sa hivi kidg maisha yangu yameninyookea pamba za...
0 Reactions
42 Replies
17K Views
Poleni na majukumu, Napenda kujua brand nzuri ya saa na bei zake especially saa za kike kama una picha unaweza share Asanteni.
0 Reactions
42 Replies
16K Views
Kwanini wanaume tukinyoa mustache (sharubu) sura inabadilika unakuwa mbaya. Yaani kwakweli natamani nisinyoe, maana unakuwa unaonekana kama nini vile.
3 Reactions
42 Replies
9K Views
Habari wakuu.... Mimi ngozi yangu Nyeusi...ila nataka kidogo iwe kidogo niwe mweupe atleast maji kunde... Katika kuulizia wakanambia nitumie LOTION YA VASSELINE.... Sasa sijui inaweza nisaidia??
1 Reactions
42 Replies
11K Views
Mrembo Eduarda Ferais ( 19 ) amesema ana vutiwa sana na makalio ya mama ake mzazi na anatamani siku moja na yeye makalio yake yangekuwa na muonekano kama makalio ya mama...
1 Reactions
42 Replies
16K Views
Siku hizi nashangaa wanawake wanaweka makatani kichwani,mikope ya plastiki,kujichora marangi midomoni,mikucha ya plastiki mirefu,halafu anapiga picha kabinua kibinda nkoi,limdomo kalitanguliza...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Tuanze na Quote ya Tom Ford kwanza "Dressing well is a form of good manners". ACT- Wazalendo wamejipanga kusuuza nyoyo zetu tunaopenda Mitindo. Najua mtasema nguo zinawasaidia nini wagombea...
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Chunusi za sumbua, je, tiba yake ni nini?
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Ni kitu kisichopingika kuwa mtu kuwa na muonekano mzuri anahitaji kuwa na umbo zuri pia. Wanawake hasa waliozaa huwa na matumbo makubwa yanayoharibu muonekano wao mzuri. Mazoezi haya yatakusaidia...
13 Reactions
42 Replies
17K Views
Kuna clip niliwahi kuisikia ya mh Rais wakati akiwa makamu wa Rais akieleza jinsi alivyopitia hatua mbalimbali mpaka kufika alipokuwa. Moja ya Jambo ktk maongezi yake alilosema ni kuwa kabla ya...
8 Reactions
42 Replies
4K Views
Jamani nina mpenzi wangu anasumbuliwa na chunusi (sio nyingi but kwa sababu anazitumbua zinaharibu reception kwa kuacha madoa meusi) Nahitaji mafuta/sabuni au kitu cha kutumia kitakachomsaidia...
0 Reactions
42 Replies
24K Views
Ladies and Gentlemen; Lets start this week by revealing the secrete of your fresh smell Let everyone on this forum know among all the scents you've used, which ones do you like Most...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Habari wanajamiiforum. Leo tushirikiane katika hili. Kumekuwa na utata mkubwa sana kwa pande zote mbili husasani siku ya kwanza kukutana na mpenzi wako, ambae labda kwa muda mrefu mlikuwa...
1 Reactions
42 Replies
12K Views
Back
Top Bottom