jun255
JF-Expert Member
- Nov 14, 2015
- 391
- 280
Jamani nina mpenzi wangu anasumbuliwa na chunusi (sio nyingi but kwa sababu anazitumbua zinaharibu reception kwa kuacha madoa meusi)
Nahitaji mafuta/sabuni au kitu cha kutumia kitakachomsaidia uso wake urudi kuwa soft.But sihitaj cream au mkorogo wa aina yoyote! Yeye tayari ana weupe asili kwahiyo sihitaji ushaur wa vitaulo wala maji ya Ray.