Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Binafsi sijawahi kuacha nywele zikuwe. Maana ni zile nywele flan hivi wenyewe wanaita kipilipili. Aisee ukiziacha wiki mbili zinakuwa kama unga wa sumaku[emoji1]. Halafu ukizingatia sijawahi...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Nimewaza tu wazee wenzangu kuwa tuna kila sababu ya kuwashukuru wenye Barber Shop au Saloon kwa kutusaidia tusiufikirie saaaana uzee tulionao. Wengi tunapaka Black na wengine tunanyoa vipara...
13 Reactions
44 Replies
2K Views
Tupo kiwanja na wana tunamalizia weekend. Kaja jamaa kaongozana na mrembo mzuri tu lakini alivyokuja kutusalimu hiyo harufu ya kinywa ni balaa. Mwana katutambulisha jamaa katoka mkoani. Ni hayo...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Let Be Real. Mwanamke mwili wake ndio pambo lake, ndio maana wanasema mwanamke uwa, Mwamke aliye Smart anaujari mwili wake kwenye maeneo tofauti tofauti. Kwa mwanamke aliye Smart hawezi jiachia...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Wakuu nimekuwa miongoni mwa mhanga wa matumizi mabaya ya unyunyu ni zaidi ya addicted kama mtu anaetumia mihadarati Ngumu mm kuacha kabisa cost me pesa nyingi kununua Kila kukicha hata kama...
6 Reactions
44 Replies
6K Views
Helo guyz naiman hapa ni jukwaa la lenye watu wengi wa kada tofauti na ujuzi tofauti ilatunashea ujuzi wa kisayansi na kiteknolojia apa. Ninahitaji kupewa ushauri / kupewa mchanganuo pia wa...
3 Reactions
44 Replies
7K Views
Aiseeeee Nilimsotea sana huyu mrembo nikampania sana maana kimuonekano ni anavutia haswa Basi nikaenda nae hadi akawa sawa Ajabu na kitu iliyonikata stim ni huyu demu kuwa na kingozi ligumu...
2 Reactions
44 Replies
10K Views
Mweny kuifaham na mtumiz wa hii perfume anihakikishie kama ipo vizur ili fedha nisiijutie...[emoji3]
3 Reactions
44 Replies
6K Views
Habari wanaJF, Naomba tazameni hii Video, then toa maoni yako, juu ya kusemekana huku kwamba Sidiria zimekuwa na vitufe vinavyosababisha Kansa kisha waelimishe na wengine
1 Reactions
44 Replies
16K Views
Asante Rayvanny kwa kunifumbua macho. Ila yaliyomo yamo kweli shogaangu Donatila ? Mbona haijajichora?
4 Reactions
44 Replies
9K Views
Habari Jf, Wataalamu wa ngozi na vipodozi mnipe maelekezo mazuri hapa. 🔷 Jinsia (me) rangi ya ngozi black chocolate, aina ya ngozi ni ya kwaida siyo kavu wala sijawahi kupata chunusi. Mafuta ya...
3 Reactions
44 Replies
14K Views
Habari za midaa hii? Nina swali kidogo kwenu dada zangu, Je nina mwanaume gani alikwambia anapenda/ama anapendezwa na nitakavyoviorodhesha? Kutoga masikio zaidi ya tundu moja, Kutoga pua, Kutoga...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari. Kwa wale mliotumia haya mafuta naomba mrejesho maana nataka kiyatumia.
0 Reactions
44 Replies
31K Views
Wajuzi naomba kufahamishwa katika mada husika hapo juu. Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Habari wana forums naomba 2share mawazo wanaume zipi sifa au mambo muhimu kwenye chumba cha kulala cha mwanaume Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
43 Replies
9K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Hakika sipendi unene, ila ndio ivyo unakujaga tu wenyewe. Ila uzuri mimi sina kitambi ila ndo hivyo nimeongezeka uzito. Ili kupunguza uzito basi...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
hello warembo na watanashati, Ni lotions gani za wadada ambazo ni maarufu ila hajizapigwa marufuku, sio fake na ni nzuri kwa viwango vyake, zenye bei ya kati 5,000-20,000. Sio vibaya ukinitajia...
2 Reactions
43 Replies
18K Views
Zanzibar Tangaaaaaa Mombasa Aminiaaa.. Sio mchezo mademu wa kanda ya pwani
6 Reactions
43 Replies
20K Views
Hivi mwanaume mzma una anzaje kuvaa suruali imekubana kama mwanamke jaman? Wengine wanavaa suruali zinabana mpaka vimatako vinachoreka kwa suruali halafu hawavai chupi. Sasa umkute ana matako...
4 Reactions
43 Replies
6K Views
Huyu afande, Kanali Mashauri ambaye ni mpambe wa Rais Samia, ukiacha mavazi ya kijeshi yuko vizuri pia katika mavazi ya kiraia. Juzi niliona wakishuka pale Airport akiwa amevaa kiraia, amevaa...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Back
Top Bottom