Unanyoa ama unasuka mtindo gani wa nywele

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Binafsi sijawahi kuacha nywele zikuwe. Maana ni zile nywele flan hivi wenyewe wanaita kipilipili.

Aisee ukiziacha wiki mbili zinakuwa kama unga wa sumaku.

Halafu ukizingatia sijawahi kumiliki kitana nyumbani kwangu.

Basi naamua tu kujipigia zangu LOW CUT kila wiki.

Nazungumzia nywele za kichwa jamani (kichwa cha juunchenye ubongo)

Hebu twambie wewe mnyowo wako
 
Then utapata pesa? Ukishajua ni aina gani ya kunyoa
 
Cheki hii cut yangu mkuu
Screenshot_20210822-190259.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom