Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ... Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio...
0 Reactions
4 Replies
646 Views
Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Unakuta binti mrembo kabisa kaajaliwa ngozi nzuri kabisa, sijui ni nini huwa kinawawasha mpaka wajione wao sio warembo hadi wapake haya mimi nayaitaga majivu. Kuna siku nimemwambia wife jiandae...
11 Reactions
32 Replies
2K Views
Hivi wanawake mnajua mwanaume akiwa anakupenda anakuona mrembo sana kama hivi hii sura ya2 ila mcheat, mfanyie vituko, haijalishi wewe ni mrembo umejipamba ajae ila atakuona kama ilivyo kwenye...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wife demu wangu kapendeza sana alinambia nimtafutie haya mafuta
4 Reactions
101 Replies
38K Views
Tupeane facts mbalimbali za kimitindo na kimionekano. Mimi ntaanza na hizi kadhaa. Unaweza ongezea pia kama utapendezwa na thread hii...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Halo JF nipo jukwaa hili. Hivi chumbani unapolala huwa una vitu gani na gani? Vipi mpangilio wako wa vitu. Huwa unakumbuka kupangilia au ndiyo mambo mengi siku moja moja unadeki πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ninacheka...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Kazi kwenu warembo wetu. https://indianhair.net/blogs/journal/real-indian-temple-hair-all-you-want-to-know
1 Reactions
6 Replies
863 Views
Kama kuna mtu humu anajua jinsi/namna ya kutengeneza mataji naomba tuwasiliane
1 Reactions
0 Replies
544 Views
Mambo zenu jamani. Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani. Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi...
38 Reactions
321 Replies
12K Views
Nataka kujuzwa faida ya matumiz ya sabuni aina ya dove.
4 Reactions
55 Replies
27K Views
Wadau wenye kujua napoweza kupata hii hand cream anielekeze. Wife alipewa na ndugu yake from USA Cream inakaribia kuisha ina harufu nzuri sana tena ya kishua kweli kweli. Naitafuta aweze kuwa...
1 Reactions
5 Replies
826 Views
Habari zenu ndugu wana JF, Hakika naandika hili jambo nikiwa nimekwazika sana, hivi inakuaje mwanamke wa ki analog unakuwa mchafu sehemu ya papuchi, dah maana kwa nilichokutana nacho leo sina...
3 Reactions
65 Replies
11K Views
Hello mamboz JF, Nauliza swali tu katika pitapita zangu na kuishi mikoa ya pwani wanawake wengi mikoa ya pwani hawana minyama uzembe. Hivi wao wanaishije na wana lishe ya aina gani, wana miili...
6 Reactions
104 Replies
7K Views
Wana ndugu majuzi nilikuwa airport kumpoke aabiria wangu gafla nikaona vijana wawili wote wamevaa hereni si mbaya...ila kuna mwingine huyu alikuwa amevaa kikuku kwa wale wanaojua ni hereni za...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Ndugu zangu Naomba kwenda direct to the point uso wangu una vidude vyeusi kama vitano exactly sijui vinaitwaje please kwa anayejua tusaidiane dawa.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
*EXOGENOUS OCHRONOSIS TATIZO LITOKANALO NA KUTUMIA CREAM ZA KUBADILISHA RANGI USONI* Hii ni hali ya ngozi ambayo husababishwa na matumizi ya muda mrefu ya bidhaa za kubadilisha rangi ya ngozi;Hata...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…