Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

SIERA

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,780
3,403
Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!

Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo linachukuliwa kikawaida ila linanistaajabisha na lina ukakasi sana maana huku ndiko tunakoenda kuzalisha mambo mengine ya kishetwani ambayo tutakuja kuyajutia

Najua haya ni mapenzi ya watu na pia ni kazi za watu lakini athari zake ni zipi kijamii? Tulianza na kusuguliwa miguu, tukaenda kwenye massages za kawaida, tukaingia kwenye full body massage sasa tunanyoana kwa kusuguana haswaaa wenyewe tumeipa jina la kizungu waxing.

Sijui kama wana vibali hawa watoa huduma, sijui kama wanatakiwa kuwa na vigezo gani ili waweze kufanya hizi kazi, sijui kama serikali imepima faida na hasara ya hizi biashara na inanufaika vipi nazo.

Kusema ukweli tunatengeneza bomu.

We ni mshamba tu uwo utamaduni uko miaka na miaka kabla hata mama yako kuzaliwa
 
We ni mshamba tu uwo utamaduni uko miaka na miaka kabla hata mama yako kuzaliwa

Ukisoma vizuri utagundua sikukataa kwamba mimi ni mshamba
Wala sijui kama huo utamaduni umeanza tangu miaka na miaka kabla mama yangu hajazaliwa

Ila nilichouliza limekaaje?

Na kama unadhani kila utamaduni ulioanza kabla ya mama yako kuzaliwa ni bora basi, nenda kaendelee kupiga kampeni ili mabinti waendelee kukeketwa na kuolewa wakiwa under18🙄🙄
 
Back
Top Bottom