Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Kuna pamba unaziona mtu kavaa town unajiuliza hivi wanazitoa wapi? Mfano mimi natafuta full jeans nyeusi nimeulizia nimeshindwa ukiingia ebay manguo mabayaaaa, huwa naopti mtumba grade 1 nawapa...
0 Reactions
35 Replies
11K Views
Siku hizi kumekuwa na kawaida ya kungarisha meno yaliyoungua yanakuwa meupeee ..jamani ni wapi wanatoa hizo huduma na gharama zake plzzz kwa anaejua
1 Reactions
27 Replies
11K Views
Natamani wanawake wangefahamu kuwa katika vitu ambavyo asilimia kubwa ya wanaume tunachukia kutoka kwao ni nywele bandia. Asilimia kubwa ya wanaume huvutiwa na nywele asili. Ikiwa sisi hatuvutiwi...
17 Reactions
97 Replies
11K Views
Haya mafuta yanapigiwa promo sana madukani yanafaa kwa matumizi??? Yanachubua au kung'arisha???maana mafuta ya kung'aa au whiten yanapaswa wapake wanawake Hii perfect white jee???Kuna member...
1 Reactions
20 Replies
11K Views
Najua zipo rangi za midomo nyingi na za kuvutia zaidi lakini Rangi hizi ndizo zinanivutia sana na ndizo rangi za midomo za kima dada/mama zilizonivutia zaidi kwa mwaka 2016. Nikikutana na...
1 Reactions
22 Replies
11K Views
Habari zenu wana janvi?. Hivi Mwnaume uson usipokuwa na ndevu au sharubu walau kidogo unajichkuliaje.!!?. Binafs nilishajarib mara kadhaa bila ya ndevu lakin nilijiona tofaut mno. Nahsi mtoto wa...
2 Reactions
59 Replies
11K Views
Baadhi ya wanawake/kinadada ni janga. Unakutana na mwanamke kwenye daladala sjui ni wigi linatoa uvundo ama ni yeye mwenyewe basi ni karaha tupu. Ukimuangalia usoni make up ya maana! Mkononi...
19 Reactions
88 Replies
11K Views
Ni baada ya siku ngapi au week ngapi chupi au kwa wanaume boxer inatakiwa kufuliwa baada ya kuvaliwa?
2 Reactions
38 Replies
11K Views
Wazee wa black is beauty mtanisamehe...white is more beautiful
2 Reactions
73 Replies
11K Views
India wanaamini Henna aloipaka bi harusi ikichelewa kutoka huashiria ndoa ya furaha na kupendwa na in-laws, na ikiwahi kutoka maana yake ndoa haitakua na furaha. Ukaona sababu ya kuikoleza henna...
1 Reactions
0 Replies
11K Views
Wakuu msaada ni home remedies gani naweza tumia ili kuota ndevu haraka. Mwenye kujua anisaidie please.
1 Reactions
71 Replies
11K Views
Naombeni msaada wa steaming nzuri ya kupaka kwenye nywele na kuacha bila kuosha sitaki hizi za kuosha, anaejua steaming ya kuacha kwenye nywele naombeni jina lake ninunue. Asanteni
1 Reactions
8 Replies
11K Views
Hello, Kama title inavyo sema,sitaki kusema mengi Binafsi nguo yangu ya ndani naweza kuiva wiki 3 mpaka baadhi ya maeneo yanakua meusi. Je, wewe unavaa kwa muda gani? Sent using Jamii Forums...
7 Reactions
79 Replies
11K Views
Tafadhali naomba picha za mishono ya vitenge kwa wawanawake wanene kiasi. shukran
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Kama unamiliki suruali zaidi ya kumi na tano na una boksa mbili tu wewe ni mchafu! Kama una pea moja tu ya viatu wewe ni mchafu,mwanaume viatu Kama unapiga mswaki Mara moja tu kwa siku wewe ni...
3 Reactions
194 Replies
11K Views
Ngozi kama kiungo cha mwili: Ngozi ndicho kiungo kikubwa kuliko viuongo vyote vya mwili wa binadamu. Kazi kubwa za ngozi ni kuvifunika viungo vingine vyote kwenye mwilini na kuvilinda dhidi ya...
7 Reactions
23 Replies
11K Views
Habari za muda huu wapendwa... Kuna tatizo la sasa la wanawake baada ya kujifungua tu, utakuta mtu anafumuka kama anakula amira. Mwaka jana mwezi wa 1 nilibahatika kupata baby boy lakini kwa njia...
11 Reactions
95 Replies
11K Views
=> Vyakula unavyokula hubeba 80% ya mapambano ya kupunguza uzito. Kula vyakula vya wanga kama viazi, wali na ugali siku ambazo utafanya kazi au mazoezi magumu tu ili kutoongeza uzito/unene. =>...
2 Reactions
27 Replies
11K Views
Wakuu ni mbinu gani nitumie ili kuondoa makunyazi usoni!?maana kila time naonekana kama nimekasirika kumbe sio
3 Reactions
46 Replies
11K Views
Back
Top Bottom