Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wanamke kutamani kutembea uchi ama kuonesha maumbile na makalio yao:- (a) Wanasukumwa na nini nafsini mwao? (b) Lengo lao ni nini? (c) Ili wapate nini?
8 Reactions
49 Replies
7K Views
Pengine mwenzangu wewe unaona hili ni sawa. Mimi naona hii ndo ishara ya kwanza tunaishi katika taifa la watu waongo na tumekubali kwamba uongo ni sawa tu. Naomba niulize, hivi kuna ubaya gani...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Haihitaji kufanya utafiti bali kutazama tu jinsi jamii inayokuzunguka inavyoishi katika suala zima la usafi hasa usafi wa kitu kinachoingia mdomoni mwako na jinsi jamii isivyojali kabisa...
12 Reactions
49 Replies
2K Views
Kwa wale mnaoishi maisha ya gym na diet, vip mabadiliko ya miili mnayaona?? Tunaomben ushauri hapa mazoezi yapi tufanye, diet twende nayo vip, ili kupunguza kilo maana zimeongezeka kwa kasi...
5 Reactions
49 Replies
7K Views
Poleni n majukumu, Hivi wanawake wenzangu(baadhi) tunaopendelea kuvaa bikini,wenzangu huwa mnavaaje au mnamudu vp,maana mwenzenu nazipenda sana ila nikivaa basi kila saa naichomoa maana inakua...
5 Reactions
49 Replies
16K Views
Halo JF nipo jukwaa hili. Hivi chumbani unapolala huwa una vitu gani na gani? Vipi mpangilio wako wa vitu. Huwa unakumbuka kupangilia au ndiyo mambo mengi siku moja moja unadeki 😅😅😅 ninacheka...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari zenu wandugu, niko mwanza nimejaribu kutafuta hii suppliment sijaipata labda Kuna mtu anaifahamu ilipo anisaidie Ni bei gani na kwa ujazo upi. Nina prefer kampuni ya Optimum Nutrition. Any...
0 Reactions
49 Replies
12K Views
Wadau. Napenda Sana vazi la suti. Nimeweka picha hapa chini kwani nimependezwa Sana na suti alovaa huyo Mdau. Naomba jua. 1 Gharama za suti hiyo? 2. Je Ni ya kushona au ya Dukani? 3. Je rangi yake...
6 Reactions
48 Replies
10K Views
Habari zenu wana urembo, Naomba msaada wa kupewa ushauri wa moisturizer gani nzuri kuupaka usoni kwa wale wenye combination skin or oily skin uso wangu una mafuta ambayo hayachemki bali...
0 Reactions
48 Replies
124K Views
Kumeibuka wimbi na vijana masharobaro kupaka rangi kucha na kuwaosha miguu wanawake zetu hii inapelekea kuchochea kuwatega wanawake maana wanalegea sana nakusisimka wanaposuguliwa miguu. Mimi...
0 Reactions
48 Replies
9K Views
Za jioni kwa mliopo Tanzania, hili suala naomba niliongelee leo,mficha uchi hazai najua sote twafahamu hili. Kumekuwa na machapisho mengi humu yanayoelezea upakaji wa mafuta makalioni kwa wanaume...
0 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu ,,ni zamani kidogo niliwahi kupaka lotion ya kuondoa nywele kwapani kwa ndg yang mmoja lakn kwa sasa jina silikumbuki kwa usahihi,,,, naombeni tushare ideas kwa yeyote...
1 Reactions
48 Replies
25K Views
Mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Kigoma. Siku ya kwanza nilipokwenda kwenda ku-report kazini mwaka 2011 kampuni moja ya Dar kabla ya kuletwa huku Tanga,nilichomekea suruali yangu nzuri tu nimeipiga...
13 Reactions
48 Replies
7K Views
Bila shaka hamjambo wana Jf, nisiwachoshe nahitaji mashati kama haya niliyoambatanisha na hii thread kwa hapa Dar. Natanguliza shukurani zangu.
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Jamani naona Mama kapiga vazi fulani ila ni kama oversize na halimtoi vizuri kimuonekano. Swali ni je, wanaohusika na mavazi ya Mama wako makini? Ukiwa mkubwa, ujue hakuna dogo la kupuuzwa.
13 Reactions
48 Replies
3K Views
Wakuu, am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona ni vyema niwe na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi. Nataka mazoezi niwe nafanyia home...
6 Reactions
48 Replies
821 Views
Habari wapendwa, Naomba kuuliza ni product gani ya ngozi ambayo ni nzuri isiyochubua ila inang'arisha na kufanya ngozi kuwa soft kwa bibi harusi mtarajiwa? Asanteni
0 Reactions
48 Replies
61K Views
Huimbi kwaya, hujaoa ..., wala sio mlokole Unavaaje haya madubwasha?
12 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu kama kichwa kinavyosema, Mi ni mdau mkubwa wa Chinos, ni suruali yangu pendwa. Sasa changamoto ninayokutana nayo ni ukishafua zaidi ya mara 2 tu, especially zile za dark blue basi inachuja...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Wakuu emu nipeni uzoefu wenu nataka niigie kwenye massage parlour nikasingwe vip kunachochote naweza kutana nacho nijiandae
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom