Gym (whey protein supplement)

Uzzi

Member
Dec 5, 2016
21
9
Habari zenu wandugu, niko mwanza nimejaribu kutafuta hii suppliment sijaipata labda Kuna mtu anaifahamu ilipo anisaidie Ni bei gani na kwa ujazo upi. Nina prefer kampuni ya Optimum Nutrition.

Any help will be highly appreciated
 
Hiyo protein supplement ukiitumia kama hauendi gym ndio ina madhara gani? au ni kawaida tu.
 
Haina madhara yoyote..usipotoshe umma mkuu..
Mkuu ujanielewa...uwezi kula hiyo kitu bila kufanya mazoezi...haina madhara ndio lakini sio afya kula tu pasipo kuwa na lengo...Me mwenye mtumiaji sana
 
hiyo protein supplement ukiitumia kama hauendi gym ndio ina madhara gani? au ni kawaida tu
Kawaida tu zile ni food elements ambazo zinaptikana kwenye vyakula tofauti kwa ajili ya kureplace mlo uendane na mazoezi unayofanya..

Ni wazi kwamba ww sio kila siku lazma ule sato na mayai abhi..pia huwezi kula soya kila siku na wala huwezi kula chakula ambacho utapata pure elements za protein..hivyo bas mzungu ameona sbb uwezi maintain schedule ya chakula ambacho mwili lazma uitaji ukiwa unafanya mazoezi ndio akatengeneza viini lishe ambavyo ndio suppliments..viwe mbadala wa chakula ambacho huwezi kuwa unakula kila siku..

So they secrete and provide the actual elements needed by the body to enhance building and strengthen the lean musles ambayo ukipiga ndio inajiboost..ila usipopiga itakupa mwili ambao kitu kama samaki kinakupa kila cku...
 
Kawaida tu zile ni food elements ambazo zinaptikana kwenye vyakula tofauti kwa ajili ya kureplace mlo uendane na mazoezi unayofanya..
Ni wazi kwamba ww sio kila siku lazma ule sato na mayai abhi..pia huwezi kula soya kila siku na wala huwezi kula chakula ambacho utapata pure elements za protein..hivyo bas mzungu ameona sbb uwezi maintain schedule ya chakula ambacho mwili lazma uitaji ukiwa unafanya mazoezi ndio akatengeneza viini lishe ambavyo ndio suppliments..viwe mbadala wa chakula ambacho huwezi kuwa unakula kila siku..so they secrete and provide the actual elements needed by the body to enhance building and strengthen the lean musles ambayo ukipiga ndio inajiboost..ila usipopiga itakupa mwili ambao kitu kama samaki kinakupa kila cku...
Hayo madude si mazuri
 
well said mkuu
 
Hayo madude si mazuri
Nimetumia sana sijaona madhara yoyote..nipo katika shape nzuri ambayo naipenda ata kuiangalia kila saa..perfomance ya mazoezi ni nzuri na niliacha kutumia sbb ya majukumu tu maana bei pia kubwa.. ingawa bado pia naendelea kufanya mazoezi ingawa kwankunyapia nyapia lakn mwili wangu upo vile vile kama nnavyotaka mm..haina madhara yyte..
 
Tumia bila mazoezi alafu uje ulete mrejesho hapa
 
We tupe mrejesho wa nani umemuona ametumia na ajafanya mazoez akapata madhara..

Au makala ipi imeandika..na mm nikupe ushuhuda wa makala na nikuPm picha na suppliment nnayotumia kwa sasaivi ingawa sio whey protein na nnaingia mara moja kwa week gym..
 
Tumia elimu yako pia..nashangaa hufahamu kwamba extra protein huwa zinakuwa converted to fat and stored underneath ur skin... Rudia makabrasha yako ya shule mzee..na kama unabisha kula kila siku protein kama futa halijaongezeka
Does the Body Store Protein?
Je jamaa ata hiyo makala iliyonitumia ni kweli kwamba umeichimbua lkn hujaielewa vzuri..amekwambia its secretes kuwa energy alaf excess itakua stored as fats..iyo protein adi iwe fats utakua umepapalize ata usitembee..yan kwa body activities za kila siku hiyo enegy ambayo inapatikana kwenye ugali tu inawahi kuwa secreated namna ile.how comes adi io protein adi ifikie stage ya mwisho kuwa fats..dont you have any activity..ata hutembei?.io ni very long term factor umeongelea ww tena haswa huwatokea wanawake..tena haiwi fats kwa taarifa yako huwa inaongeza uzito tu..sa kama fats ndio huwa inamchango mkubwa ktk kuongeza uzito bisha tena..
 
achana nae huyo mkuu....hajui anachokiongea....[HASHTAG]#FitnessForLife[/HASHTAG]
 
Je jamaa ata hiyo makala iliyonitumia ni kweli kwamba umeichimbua lkn hujaielewa vzuri..amekwambia its secretes kuwa energy alaf excess itakua stored as fats..iyo protein adi iwe fats utakua umepapalize ata usitembee..yan kwa body activities za kila siku hiyo enegy ambayo inapatikana kwenye ugali tu inawahi kuwa secreated namna ile.how comes adi io protein adi ifikie stage ya mwisho kuwa fats..dont you have any activity..ata hutembei?.io ni very long term factor umeongelea ww tena haswa huwatokea wanawake..tena haiwi fats kwa taarifa yako huwa inaongeza uzito tu..sa kama fats ndio huwa inamchango mkubwa ktk kuongeza uzito bisha tena..
Sipo hapa kubishana..ukila protein nyingi excess huwa inabadilishwa kwenda form ingine as mwili haunauwezo wa kustore protein. Mwili wa mwanamke na mwanaume hauna utofauti kwenye metabolism...metabolism ya mwanamke na mwanaume zinafanana tofauti inaweza kuwa kwenye speed ya hyo metabolism tu.
What Does Excess Protein in the Diet Do?
 
Back
Top Bottom