Lotion/cream nzuri kwa bibi harusi mtarajiwa

Emoj

JF-Expert Member
Oct 9, 2015
838
1,302
Habari wapendwa,

Naomba kuuliza ni product gani ya ngozi ambayo ni nzuri isiyochubua ila inang'arisha na kufanya ngozi kuwa soft kwa bibi harusi mtarajiwa?

Asanteni
 
Cream nzuri na ya kung'arisha uso, ni zile ndude za kuteleza ex wako akifika mwambie akumwagie usoni uso unakuwa soft! hii imethibitishwa kimataifa ISO-2001-0000.
 
Habari wapendwa.
Naomba kuuliza ni product gani ya ngozi ambayo ni nzuri isiyochubua ila inang'arisha na kufanya ngozi kuwa soft kwa Bibi harusi mtarajiwa?
Asanteni
Nunua Maxima Maxitone Diva Fade Milk ya chupa,na cocoa butter ya clere,na sabuni yake ya Diva.changanya cocoa butter na diva fade cream upake usiku wakati wa kulala tu hapana mchana na kama hautoki nje paka asubuhi na jioni kwa wiki moja huku ukiogea sabuni yake.Utarudi kunishukuru.kila la heri
diva.jpg
diva.jpg
$_35.JPG
$_35.JPG
 
Cream nzuri na ya kung'arisha uso, ni zile ndude za kuteleza ex wako akifika mwambie akumwagie usoni uso unakuwa soft! hii imethibitishwa kimataifa ISO-2001-0000.
acha utani jamaniiii mi niko serious ati
 
ndio mpendwa
Nafurahi unaolewa ila jipange. Jiulize ni kwa nini umeamua kuolewa! Kawaida katika maisha ya mwanadamu tunapita vipindi tofauti. KWA sasa Cha Msingi kwako ni kuunganisha kikojoleo chako Na jinsi tofauti. Hilo ndo kubwa kwenye ndoa consummation of the marriage. Hivyo tutakushangaa iwapo utamweleza mmeo kuwa unarudi kwenu. Swali letu tutauliza je utapata kikojoleo Cha kuunganisha huko kwenu? KWA maana hiyo jitahidi kudumisha ndoa yenu KWA mazuri Na mabaya KWA kuzingatia kuwa mwanamke ndiye DEREVA wa ndoa Na Mwanaume ni konda. Naenda kuinjika maji ya boss ili awahi kazini magu asimtumbue KWA kuchelewa
 
asante kwa ushaurimpendwa
 
asante kwa ushaurimpendwa
Boss ashaondoka naweza kuongeza kuwa achana Na ushauri wa Ndugu hasa katika kipindi ndoa ikiyumba. Vile vile wazazi wako hasa mama si wazuri KWA kushauri ila wakwe. Ndoa ni kitu ambacho ni Kina extremes Kama ni nzuri utajiona upo peponi Na ikiyumba utajiona upo jehanamu. KWA vyovyote vile hakikisha unabanana Na mumeo. Hakuna password katika Simu inst, JF , hata Facebook
 
Mhhh tumia ulichokua unatumia sanasana relax,stay indoors mara nyingi paka treat za asili,massage na scrub kwa wingi nk
Ukianza kipako kipya kikakuharibu je?
 
Yani labda uonane na wataalamu wa ngozi afu ndo warecommend utumie kitu gani, kama unaona unachotumia kwa sasa hivi hakina effects na ngozi yako. But ni vizuri ukatumia vitu natural, Tafuta uzi wa hornet hapo juu.

Mtu anaweza akawa anatumia lotion ikampenda kweli but wewe ikaja kukutoa manundu na harusi ndo hiyooo. BTW hongera sana mpenzi
 
Mhhh tumia ulichokua unatumia sanasana relax,stay indoors mara nyingi paka treat za asili,massage na scrub kwa wingi nk
Ukianza kipako kipya kikakuharibu je?
My dear hii ni 100 percent hypoallergic.sio carolight ya ef tano kariakoo mpendwa hii kitu.na usisahau kwamba haina hydroquinone na inachangwa na cocoa butter.wewe mwenyewe unajua kama vipodozzi hivyo ni poa tu.
 
Nafurahi unaolewa ila jipange. Jiulize ni kwa nini umeamua kuolewa! Kawaida katika maisha ya mwanadamu tunapita vipindi tofauti. KWA sasa Cha Msingi kwako ni kuunganisha kikojoleo chako Na jinsi tofauti. Hilo ndo kubwa kwenye ndoa consummation of the marriage. Hivyo tutakushangaa iwapo utamweleza mmeo kuwa unarudi kwenu. Swali letu tutauliza je utapata kikojoleo Cha kuunganisha huko kwenu? KWA maana hiyo jitahidi kudumisha ndoa yenu KWA mazuri Na mabaya KWA kuzingatia kuwa mwanamke ndiye DEREVA wa ndoa Na Mwanaume ni konda. Naenda kuinjika maji ya boss ili awahi kazini magu asimtumbue KWA kuchelewa
He! Naona umejivika ukungwi! Anae somo wake ivoo! Hapa anatafuta mafuta tu
 
Back
Top Bottom