Naomba kujuzwa dawa ya michirizi

Habar zenu. mwenye kujua dawa ya kutoa michiriz mwilini kwa haraka tafadhali maana inanikera na sijui nipake kitu gani itoke , inaninyima confidence kabisaa

Kama dermatologist yupo anisaidie ushauri , stretch marks zinaondoa mvuto jaman
muone( sachques store ) atakusaidia nenda insta andika ilo jina utapata namba zake muulize

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom