Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Nipo maeneo flani hapa kuna bar nakula lunch yangu sasa hii bar bwana wadada wanavaa nguo fupi mno yani fupi. Ila nimegundua kitu kimoja pamejaa wakaka na wababa wanaokula na wengine wanaibia...
11 Reactions
112 Replies
19K Views
Je, unayajua Matumizi mengi ya foili ya aluminium tofauti na kufungia au kufunika Vyakula? Foili ina matumizi mbalimbali kama Ifuatavyo 1. Kunoa Mikasi - Tumia foili kunoa mikasi iliyopoteza...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni miwani aina ya Alexander Mcqueen AM0372S-001 ambayo ni custom made with Diamond plated. Bei yake ni Euro 243 ambazo ni sawa na pesa ya madafu Shilingi 688,920/=
14 Reactions
41 Replies
3K Views
Guys I hope you good, let's skip formalities and jump right into the topic. Ninaomba msaada kwa anayefahamu dawa nzuri (ninapo sema dawa nzuri namaanisha dawa yenye matokeo hasi kidogo sana...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mojawapo ya raha ya mme/ mwanamme ni kumpa zawad mwenza asiyotarajia na akaifurahia. Na kati ya lawama za wanawake dhidi ya wenza ni tabia ya kutoa taslim mwenzako akajinunulie kila kitu kila...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Mazee Nina Pafyumu Sita, ila Nahisi zote Ninapigwa na kitu kizito . Hazikai muda mrefu kwenye Nguo yaan unapuliza ,harufu sawa inaweza kua nzuriii ya kuvutia lakini hazikai muda mrefu...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
wadau nimejibana atimae nimejinunulia zawadi ya set ya WIX pamoja na scrub. Ningependa kujua kama kuna wadau wengine humu wanatumia wix je kuna kitu niongezee ili niwe msupuu zaidi[emoji3059]...
7 Reactions
140 Replies
19K Views
Habari Mimi ni mwanaume rijali lakini kisema ukweli mimi sipendi nyusi na nafikiria kwenda kuzinyoa. Najua inaweza leta tafsiri mbaya lakini kwa kweli mimi nachukia nyusi ni bora tu nizitoe.
1 Reactions
58 Replies
9K Views
Mimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu...
18 Reactions
141 Replies
4K Views
I hav my new fashion brand anda i need sponsor
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu salaam. Aisee Nina changamoto ya kuwa na garden Love Mbaya kuliko zote ambazo zinapatikana hapa Dunia hii. Kama Kuna mtu anaweza jua namna ya kuzifanya angalau ziwe vizuri msaada. Kama...
21 Reactions
93 Replies
4K Views
Habari za jioni Wana Jf Kwa wale ambao mara kwa mara mnapata huduma katika hizi saloon za kisasa, mtakuwa mnafahamu vyema huduma zitolewazo mule. Baadhi ya saloon ukigoma kufanya scrub...
75 Reactions
145 Replies
10K Views
Wakuu habari za weekend? Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Mwanzo nilikuwa na nywele nzuri kiasi (kipilipili)baadae nikaona niwe napaka super black. Cha kushangaza nisipopaka super black...
3 Reactions
30 Replies
8K Views
Mimi ni mtu ninayependa kuvaa vizuri na kula vizuri. Kumbukumbu zangu zinaonyesha mara ya mwisho kununua mtumba ni miaka mingi ishapita hata zaidi ya 10. Nilijiambia bora niwe na nguo chache ila...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Jumatatu, Juni 24, 2024 Muktasari: Utafiti huo na tafiti nyingine zitawasilishwa kwenye kongamano la kisayansi litakalofanyika Juni 27-28, mwaka huu. Dar es Salaam. Imebainika kuwa zaidi ya...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Ni kilio kilichokuwa kikitutesa wengi kwa muda mrefu, yani kupata kadeti original ilikuwa ni shughuli pevu, tushapigwa za uso mara kadhaa kununua kadeti za elf 40 tukidanganywaa kwamba ni...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Masikini wezangu, kutokana na mgomo ambao umetangazwa na wafanya biashara wa Kariakoo wa kutofungua maduka mpaka changamoto zao zitakaposilizwa na Serikikali, Mimi mwenyekiti wa Masikini...
2 Reactions
3 Replies
391 Views
Ushawahi jiuliza siku nitoke vipi? Au kila siku unavaa style moja ya mavazi hadi watu washakuzoea? Sasa kuna hizi dress code tano (5) siku unaweza kuzijaribu. 1. Kuchomekea jeans na shati mikono...
9 Reactions
7 Replies
3K Views
Signed out
45 Reactions
325 Replies
14K Views
Back
Top Bottom