Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 69,831
- 137,176
Good morning.....
Ngozi yenye chunusi na mafuta mengi
Chukua asali kijiko kimoja
Mdalasini (cinnamon) kijiko kimoja pia
Vichanganyikane kwa pamoja,
Osha uso, upake usoni huo mchanganyiko, paka muda wa usiku.
Asubuhi utaona mabadiliko
Ngozi ya miguu ngumu (kwenye unyayo)
Chukua chumvi vijiko viwili
Sukari vijiko viwili
Mafuta ya maji (waweza tumia olive, au ya kupikia pia, ya nazi sio mazuri kiivo hayavutiki)
Osha miguu, ikaushe, paka mafuta ya maji kwenye miguu, chukua mchanganyiko wa sukari na chumvi sugua kwenye miguu kama dakika 20 hivi.
Kama una muda wa kutosha fanya hivo asubuhi na jioni.....
Matokeo utakayoyapata naamini utanipenda