Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wadau wa kilimo ufugaji na uvuvi Kama Kuna mdau anahitaji Miche ya strawberry tunayo ipo aina ya Chandler Tupo Arusha 0683505822
0 Reactions
3 Replies
610 Views
Habari wana JF!, Poleni na Hongereni katika harakati za kuzuia mikono isibanduke kwenye vinywa vyetu na wale tunaowapenda.. Ni kwa muda nilihitaji kuanza biashara,ya ufugaji wa kisasa wa kuku ila...
0 Reactions
1 Replies
919 Views
Habari wana JF! Poleni na Hongereni katika harakati za kuzuia mikono isibanduke kwenye vinywa vyetu na wale tunaowapenda.. Ni kwa muda nilihitaji kuanza biashara, ya ufugaji wa kisasa wa kuku ila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo nimekaa na kutafakari sana kuhusiana na suala hili hasa ikichangiwa na baadhi ya video na clip nilizowahi kuona huko nyuma 1. Misri wameanzisha miradi ya kilimo cha umwagiliaji kwenye...
3 Reactions
9 Replies
764 Views
Angalia mbegu hapo na idadi kwa kila mbegu
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Habarini wakuu, Ni mwanafunzi hapa mwaka wa kwanza nmepata bum, nmefkiria kufanya biashara lakini naona haitokua na usimamizi mzuri. Hivyo nmefkiria kununua n'gombe wa kienyeji. Nahitaji tips za...
0 Reactions
6 Replies
800 Views
Nahitaji mbegu za papai aina ya malkia F1. Aliyenazo tuwasiliane.
1 Reactions
9 Replies
840 Views
Habari ya leo Ninataka kutotolesha mayai ya bata wa kisasa kwenye Incubator iliyonunuliwa mwezi uliopita kutoka kampuni ya Kitanzania. Naomba kujua joto na unyevu kwa mayai ya bata ndani ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni mwongozo: kwani ng'ombe anaficha maziwa? ni ng'ombe mwenye maziwa mengi tu lakini ana tabia ya "kubana" ukiwa unakamua. Sijuwi ni kwanini?! mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie jamani
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Serikali iliruhusu nchi za jirani kusomba vyakula toka moja kwa moja kwa wakulima na nchi kama Kenya wakawa wanasindika na kuuza nchi za vita kwa nembo yao kama vile Somalia na Sudan Kusini. Sasa...
0 Reactions
3 Replies
440 Views
Wakuu Nilikuwa nimehifadhi namba za mbolea ya ruzuku kwenye simu (smart phone) bahati mbaya simu imedumbukia kwenye maji na kioo kimekufa. Nimejaribu kutafuta kioo kipya lakn gharama zake ni...
0 Reactions
1 Replies
11K Views
Hivi hii kitu imekaaje? Ninaona zipo viwanja wanafanya hii biashara lakini bado hawapo kisasa zaidi na bado hawaaminiki sababu ya wizi wa magari au vipuri vyake. Sehemu nyingi gharama ni 1000...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa bei hii ya vyakula unga, Michele, maharage ni kwamba ruzuku haijafanya lolote kumnufaisha mtanzania mlipa kodi wa mbagala Dar es salaam. Wafanyabiashara wachache na wakenya ndio wanaofaidika...
0 Reactions
7 Replies
852 Views
Zamani ulikuwa huwezi taja kilimo bila kuitaja Kaskazini, mkoa kama Arusha na nazania Arusha ndio ilikuwa kituo cha kilimo Tanzania hii, Kaskazini hasa Arusha ndiko hata kulikuwa na Makao makuu ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu, Nimepitia nyuzi nyingi jukwaa hili kwenye upande wa ufugaji nimeona asilimia kubwa wamejikita kwenye ufugaji wa kuku,inaelekea inalipa hii! Anyway me nmekuja...
7 Reactions
94 Replies
29K Views
1. Tibetan Mastiff - $3,000–$5,000 2. Black Russian Terrier - $3,000–$5,000 3. Samoyed - $2,500–$5,000 4. French Bulldog - $2,500–$4,000 5. Löwchen - $2,500–$4,000 6. Cavalier King...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu, Nina kuku wa kienyeji hapa kwangu ambao nimewazuia wasizagae mtaani, sasa wiki hii kuku wote wakubwa wameanza kutaga na hapa sina jogoo hata mmoja. Je, niendelee kula haya mayai au...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Pumba za mpunga zile laini zinafaa kulishia kuku na bata?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakulima na wafugaji Nafanya jaribio la kutengeza mbolea asili au mboji. Kwa kutumia majani niliyojaza apo kwenye karo Nitaweka Mbolea ya ng'ommbe au mbolea ya mbuzi /kuku/bguruwe/popo n.k...
0 Reactions
4 Replies
749 Views
Kama kichwa cha uzi kilivyo wapendwa. Nina nguruwe wangu 10 wanaota vidonda na wanajikuna. Je naweza kutumia dawa gani kutibu hili tatizo? mahali Nilipo hakuna mtaalam wa wanyama. Anayefahami...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom