Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Anonymous (c518)
1. Viongozi wa AMCOS tunatozwa pesa kila tunapoenda kusainisha/kupitishiwa malipo ya wakulima katika chama kikuu MBCU, Kila malipo tunatozwa Meneja Ndg. Paulo Samweli kuanzia 4mil hadi 10mil...
0 Reactions
3 Replies
203 Views
Binafsi huwa najiuliza ni kwanini mashamba makubwa yanafanya vizuri sana. Ninapogusia mashamba makubwa ninamaanisha mashamba ya kisasa. Nimekuwa nikifanya study juu ya makala za kilimo, kuona...
2 Reactions
2 Replies
383 Views
Bila elimu katika ufugaji ni lazima ukushinde. Hapa mzee kwezi alitueleza jinsi ambavyo aliwekeza katika elimu kwa kusafirisha nchi mbalimbali kwaajili ya kujifunza ufugaji wa ng’ombe wa maziwa...
1 Reactions
2 Replies
457 Views
Baada ya kufanya kazi miaka mingi na kuona hakuna kikubwa ninachopata kazini zaidi ya pesa ya kula, kusomesha na kujenga nyumba tena kwa tabu sana, nimeona nifikirie kuanza hivi Mpwa wangu...
35 Reactions
55 Replies
3K Views
Nilikuwa na hamasa sana ya kuanza ufugaji wa wanyama mbalimbali kama kuku, sungura, mbwa, paka, njiwa, na bata. Kwa hiyo, kama sehemu ya mwanzo wa safari hiyo, niliamua kununua njiwa sita...
10 Reactions
41 Replies
2K Views
Unajua? Wafugaji wengi bado hawajagundua siri kubwa iliyopo kwenye ufugaji wa nguruwe. Wakati sekta nyingine za mifugo zikionekana waziwazi, nguruwe mara nyingi huachwa nyuma—lakini kibiashara...
10 Reactions
54 Replies
4K Views
Anonymous (396c)
Malipo yanacheleweshwa hii ni baada ya taasisi kurudishwa Serikalini project haziendi kama inavyotakiwa. Pesa zake zinachelewa, waajiriwa wapya mpaka wameondoka miezi 5 hawajalipwa. Alikuja...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Anonymous (bb66)
Leo nataka kugusia jambo ambalo linatupa wakati mgumu sisi wadau wa kilimo na ufugaji tunaotafuta mitaji kupitia Mfuko wa Pembejeo (AGITF). Ukiingia kwenye tovuti ya AGITF (www.agitf.go.tz)...
2 Reactions
2 Replies
195 Views
Mwezi wa Aprili umekuwa mwezi mkubwa zaidi wa Fuga App tangu tulipozindua. Idadi kubwa zaidi ya watumiaji wapya kwa mwezi mmoja. Wastani wa ukuaji wa 55% kila mwezi. Na sehemu muhimu zaidi ukuaji...
5 Reactions
4 Replies
300 Views
Pikipiki huwa na matumizi mengi sio kubeba abiria tu hata kufanya kazi zingine pia ikiwemo kulima. Huyu mwamba anaitumia kukamulia michikichi ili apate mafuta ya mawese. Huitaji kwenda Veta.
5 Reactions
6 Replies
804 Views
  • Poll Poll
Haina uchakataji mwingi: Asali mbichi haijapashwa joto kali, hivyo huhifadhi virutubisho vyote vya asili. Ina enzymes hai: Ina vimeng’enya vinavyosaidia mmeng’enyo wa chakula na afya ya mwili. Ina...
2 Reactions
2 Replies
314 Views
Good evening Leo ninapenda tuandike kuhusu fursa ya kilimo cha papai. Na,hapa nitagusia zaidi kilimo cha papai hybrid. Katika kilimo cha papai kuna hatua za kuzingatia ili mtu aweze kupata...
2 Reactions
12 Replies
461 Views
Nimefuga kwa miaka kadhaa ,kwa mtu ambaye anataka kuanza serious ufugaji wa kuku 2026 ,ningemshauri azingatie haya Habari ya mwaka mpya wafugaji wenzangu, Kila mwaka kuna watu wengi wanaanza...
12 Reactions
8 Replies
2K Views
KUMBUKIZI 📌 Hapa tulipata fursa ya kumtembelea Mzee Hassan Migeto, mfugaji wa ng’ombe wa maziwa kutoka Mkuyuni – Mwanza. Alitueleza kwa uwazi safari yake ya ufugaji, changamoto alizokumbana nazo...
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Anonymous (01f4)
Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi...
2 Reactions
10 Replies
393 Views
🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓 AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ 📠☎️ 0781647066...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Washikaji eeeh Leo ninatamani niwape taarifa kidogo kuhusu dawa imayoitwa PARAFORCE. Sasa hii ni dawa inayotumika kuua magugu, nyasi na hata kukausha mazao wakati wa mavuno mfano zao la PAMBA...
5 Reactions
14 Replies
475 Views
Sina picha ya kuambatanisha lakini kupitia maelezo mtapata picha kamili ya ugonjwa wa kuku wangu. Iko ivi,mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, kuku wangu wadogo kama wa miezi mitatu minne hivi...
3 Reactions
8 Replies
322 Views
Wadau, Nahitaji kulima maparachichi. Kwa mwenye ufahamu zaidi naomba kujua changamoto na nini nifanyeje ili nieweze kufanikiwa. MASWALI YA WADAU WENGINE KUHUSU ZAO HILI Kama kuna mtaalamu wa...
5 Reactions
239 Replies
119K Views
Leoo tugusie kidogo kuhusu mbolea. Wakulima wengi hasa wale tuliozoea matumizi ya mbolea huwa tunapenda sana kutumia mbolea kama SA, DAP, UREA nk Lakini umeshawahi kuwaza kutumia mbolea ya asili...
5 Reactions
11 Replies
495 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…