Elimu kidogo kuhusu Namna na njia sahihi ya uzalishaji vifaranga vya kambale kupunguza idadi ya vifo (mortality rate)
Kambale ni samaki mwenye thamani kubwa katika tasnia ya uvuvi na uzalishaji wa...
Pata ushauri jinsi yakufuga viumbe hai majini kisasa kama samaki aina ya sato, kambale n.k
Elimu kidogo juu ya ufugaji samaki aina ya SATO
Ufugaji Samaki Aina ya Sato
Ufugaji samaki aina ya...
Habari wanajamvi wenzangu!
Tatizo la ajira limekuwa sugu lakini nimekuja na suluhisho ambalo litaweza kuongeza kipato kwa sisi watu wa chini na hasa waliomaliza chuo na kukosa posts.
Naeleza...
Wasalaam ndugu zangu,naamini mu wazima wa afya.
Leo nataka nilale nikiwa najua ni hatua gani kama mfugaji mdogo anatakiwa kuzijua pale tu anapokuwa na wazo la kuanza ufugaji Kwa mara ya kwanza...
msaada jamani ndugu zanguni wataalamu wa kilimo. nahitaji mashine ya kuvuna mpunga inaitwa power reaper bainder(inavuna nakufunga bando yenyewe)napata wapi na bei ? km inavyoonekana kwenye picha:
Mfumo wa umwagiliaji wa matone (Drip irrigation system) unafanya kazi kama zile drip za hospital za kuongezewa maji au damu ambazo huwa tunaziita drip... wanasemaga mtu katundikiwa drip ya maji...
Wanaoitwa wataalamu wa kilimo na mifugo ndio wanasababisha wakulima na wafugaji wengi waangukie pua kwa faculty hii.
Nikafanya utafiti kidogo elimu ya maafisa kilimo na mifugo ngazi ya kijiji na...
Maboga ni moja ya Chakula kinacho weza tumiwa kutatua njaa inayo sababishwa na ukame, sema ni vile Jamii ina under rate Maboga lakini yana uwezo mkubwa sana linapo kuja swala la njaa.
Wakulima wa...
Ikitokea mbuzi amekula mboga mboga bustanini bas kuna asilimia kubwa ya hizo mboga kukauka au kuendelea kusurvive kwa shida na hatimae kufa ila ng'ombe akila hakuna kitakachotokea nini...
Wanazengo kichwa cha habari kimejieleza
Natanguliza shukrani kwa atakenipa ABC kwenye hilo. Mi ndio kwanza naanza hicho kilimo nataka nitumie kumwagilia kwa matone " drip irrig."
1. Kitalu kama...
Kutokana na Taarifa ya hapo chini kutoka Azam Tv:
KUSHUKA KWA BEI YA MAHINDI, NINI SABABU NA KIFANYIKE?: Hoja ya kuporomoka kwa bei ya mahindi nchini imetinga kwa mara nyingine bungeni baada ya...
Habari za muda huu,
Nimeanza kufuga kuku wa kienyeji ila changamoto ilionileta hapa ni kuwa....
Kuna jike moja wapo lilianza kutaga mpaka sasa ana mayai zaidi ya kumi ila kila akitaka kutaga...
Hali ya wakulima wa Vanilla inatisha Kyerwa, Karagwe na Bukoba vijijini leo nimepata taarifa kuwa wakulima wameanza kung,oa zao hili kutokana na ukosefu wa wanunuzi nimeambiwa mwaka jana waliuza...
Kwako waziri Bashe tunakwenda msimu mpya wa kilimo na wa pembejeo na tunaaambiwa mawakal ikifika tarehe 1mwezi wa 7 inabidi kusimama mpaka maelekezo mapya yatakapo toka tena.
Kilio changu mpaka...
Habari?
Kifaranga wangu ana wiki ya tatu sasa hivi. Wiki ya kwanza ndiyo niligundua kuwa haoni baada ya kula, kunywa maji na kutembea kwa hisia(yaani anabahatisha kila anachokifanya).
Hajawahi...
MHE. EMMANUEL CHEREHANI - SERIKALI IONDOE MAKATO YA MITI KILIMO CHA TUMBAKU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni...