CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
Maboga ni moja ya Chakula kinacho weza tumiwa kutatua njaa inayo sababishwa na ukame, sema ni vile Jamii ina under rate Maboga lakini yana uwezo mkubwa sana linapo kuja swala la njaa.
Wakulima wa maeneo yanayo pata mvua kidogo sana wanapaswa kuwa wanaotesha na Maboga ya kutosha shambani mwao.
Maboga yanaweza hifadhiwa mwaka mzima bila kuharibika, Sasa mwaka mzima haijasaidia tatizo la njaa?
Kuna baadhi ya nchi niliona walikuwa na project ya kuhamasisha jamii kulima kwa wingi maboga na kuhifadhi kama akiba kwa baadae.
Maboga ukiachili kwamba yana nutrient nzuri pia ni chakula kizuri sana mimi nimeyala sana haya Maboga kama Chakula.
Jamii nyingi nazani zina under rate sana Maboga na kuona ni chakula labda cha mifugo au Tembo lakini ukweli maboga yanaweza sana tatua tatizo la ukosefu wa chakuka unao sababishwa na ukame.
Pia hata kwa mifugo pia basi kama huwezi kula na umelima ya kutosha unaweza lishia Ng'ombe wako au Mbuzi wako au Nguruwe wako kipindi cha shida ya chakula.
Kuna furusa kubwa sana kwenye maboga sema wakulima na hata wafugaji wengi hawajui hilo.
View attachment 2265564