Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wakuu kwa anaefahamu vyema juu ya hawa viumbe atujuze! 1:Aina mbalimbali za sungura 2:Namna bora ya kuwafuga 3:Faida na hasara za zake 4:Mengineyo kuhusu hawa viumbe
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi na tumaini mko poa mimi ni kijana ambae nahitaji nitimize ndoto zangu kupitia kilimo. Nilikuwa natafuta mtu alie serious tuingie kwenye kilimo mkoa wowote ambao tutaona unafaa...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
JINSI VIJANA WA KAZI WANAVYO WEZA KUKUPIGA KWENYE KUKU WAKO. Ukiwa unafanyanufugaji wa simu ni lazima pia kujiandaa kwa majanga. 1. Kupitia mayai- Una kuku 300 wakutaga lakini kwa siku...
15 Reactions
30 Replies
6K Views
Tanzania ni nchi yenye walaji wa nyama wengi na kuku huliwa kwa kiasi kikubwa sana. Hata kama bei zinapanda, ulaji unaendelea kukua kila siku.Matokeo yake ni kwamba kufuga kuku inaweza ikawa...
11 Reactions
74 Replies
24K Views
Nina mpango wa kuanza kilimo cha mboga eneo ninalotegemea kuvuta maji ni mita 200 je nichukue pump ipi? vigezo ninavyovitaka 1. Uwezo wa kumudu kuvuta na kusukuma maji umbali wa mita 200 2...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Mimi binafsi nahitaji nianze ufugaji wa kuku chotara, ambao wanataga na kuatamia, pamoja na kuku wakienyeji. Ingawa Kuna Comment ya mkuu Kalamu niliwahi isoma hapa jukwaani akiisema kuku...
12 Reactions
130 Replies
12K Views
Na Samwel Marwa (Mwandishi wa Habari na Mtaalam wa Mawasiliano ya Umma). "Naishauri serikali kuchukua hatua za pamoja na za haraka zaidi ili kukomesha vikundi hivi vya maharamia 'Mamayao' ili...
1 Reactions
1 Replies
591 Views
Habari zenu wana JF Natamani kulima ufuta Ila shida yangu ni kwamba sina utaalamu nao,. Naomba msaada kwa yeyote mwenye utaalamu wa hili zao. Asanteni
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kipindi hiki cha Mvua unaweza pata baadhi ya miche ya Kiwi, Pixie Orange na Dragon kwa matumizi ya nyumbani yaani Backyard. Kiwi ni vein, na kiwi inahitaji uoteshe jike na Dume, kuna kiwi jiie na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Msaada kutoka kwa wakulima na maafisa ugani. Hivi naweza kutumia SA kukuzia mahindi? Nikiichanganya na superGro?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna watu wapo busy kuhangaika kutafuta ajira Serikalini na mashirika binafsi, wengi hufikiri kuwa wanaweza kutoka kwa kuajiriwa, vijana wengi wanaogopa kujihusisha na kilimo aidha wanafikiri kuwa...
60 Reactions
382 Replies
117K Views
Ufuta wangu una wiki 7 majan yanakakamaa je nipige dawa gani nimeshapga dawa ya duduba lakin hali bado haijakaa sawa
1 Reactions
3 Replies
610 Views
It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again Wakuu ama kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa...
24 Reactions
116 Replies
11K Views
Utangulizi Tanzania ina nafasi kubwa katika sekta ya kilimo na ufugaji. Kwa matumizi bora ya rasilimali hizi, wakulima na wafugaji wanaweza kuongeza uzalishaji na kuboresha kipato chao. Makala hii...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzania imefanya hatua kubwa kwa kuongeza bajeti ya kilimo hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.3, ikiwa ni ongezeko kubwa linalolenga kukabiliana na changamoto za mavuno zinazoikumba dunia. Hatua...
0 Reactions
8 Replies
488 Views
Nina shida na ardhi ya Lindi ambayo haijawahi limwa kama heka kumi hivi mwenye info anisaidie
0 Reactions
4 Replies
483 Views
MAGONJWA YANAYO WAKUMBA SANA MBWA Mbwa ni mnyama muhimu sana katika maisha ya binadamu kwani mnyama huyu husaidia katika ulinzi na mapambo katika nyumba, hivyo basi kumtunza mbwa ni jambo la...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara.
0 Reactions
2 Replies
757 Views
Naomba niwasilishe kutaka kuelezwa zaidi juu ya kilimo cha Korosho kwa Mkoa wa Pwani. Naomba mwenye kuelewa atufahamishe mimi na wengine gharama toka awali za kupanda mikorosho katika shamba la...
2 Reactions
474 Replies
155K Views
Wakuu nimepata wazo la kua mvuvi lakini nataka nitumie ndoano katika shughuli zangu za uvivu hvo nilikua naulizia ndoano za kisasa na affordable kwa mimi mlala hoi, napia nikapata na bei ya life...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…