Nahitaji mtu tuunganishe nguvu tuingie kwenye kilimo

Nawaza kijana wa Dar atakavyoingia shambani na suruali "modo" kanyoa kiduku, earphone zake akakutana na majani washa!
Kesho yake atanwambia mbia mwenzake wa bush..."oh please naomba uendelee nitakuja hu shamba mwezi ujao!"
 
Back
Top Bottom