ni bidhaa itumikayo kwenye gari,pikipiki, generator,meli,treni,mitambo ya migodini na vifaa vingine vyote vitumiavyo petrol au diesel kwa ajili ya kusafisha mafuta hayo utumiayo
FAIDA BAADA...
Sijui jina halisi la kitaalamu lakini suala lenyewe lipo hivi.
Nikiwa mdogo nilishawahi kuona hii kitu kijijini, leo hii na mimi nataka nikafunge udongo kwenye tawi la miti ya milimao na...
Habari za muda;
Mimi ni mfugaji ninahitaji yai la mbuni na tausi lenye kiini kwa ajili ya kutotolesha.kibali chake cha kumfuga ninauwezo wakukipata.Taarifa tafadhali.
Wasiliana nami...
Ukiachana tofauti ya bei ya njiwa huanzia elfu 10 pair moja ya njiwa Wa kawaida, elfu 60 kwa wale weupe, na wengine wapo wanauzwa hadi laki 8 kwa pair moja!
(Kazi moja ya njiwa ni...
Nina kuku wakubwa ambao nawatumia kama wazazi,pia nina vifaranga wa takriban miezi 3 na nusu,mara mwisho niliwapa chanjo ya kideri tar. 20.8.2023 na hapa kati nilikuwa na vifaranga wengine...
Kulikuwa na wimbi kubwa la matangazo na mauzo ya mayai ya ndege mdogo aina ya kware. Mayai yake yalisifiwa sana na kushawishi watu wengi kuyatumia. Wapo hata walioanza na kuimarika katika ufugaji...
Tafadhali kwa wale wanaojua magonjwa ya mimea hasahasa mahindi,
(i)Naomba mnijuze huu ni ugonjwa gani kwenye hili hindi?
(ii) Nawezaje kujikinga ntakapopanda mahindi tena msimu ujao.
Naomba...
helow
Wadau mm ni mfanyabiashara wa kati, nnaenunua tikiti maji na ku_supply jijini Dar-es-salaam. Kwa yeyote anaefanya kilimo hiki, tuwasiliane tujenge uchumi wetu. Biashara hii inafaida kubwa...
Get Logo,Banner, Letter head,proforma invoice ,delivery note,Tax invoice, and many more different designs for only Tshs 20,000/= per each in a bundle of 10 up to 20 artworks, your most welcome...
Habari? Ndugu zangu mliopo makazini,mijini au wenye fedha kiasi ambao wanapenda kujishughulisha na shughuli mbalimbali ili wajiongezee kipato.
Kuna watu wanafanya kazi hawana muda...
BY DINFIN MULUPI | ENTREPRENEUR WATCH, FEATURE ARTICLES, ICT, TANZANIA |
Nadeem Juma established an international school ten years ago at the age of just 19, and is the co-founder...
Wakubwa salamu sana ama baada ya salamu naomba mwenye kujua Bei ya hizi Basi za Yutong sasa hivi sijui zimefika ngapi, Napenda kujua bei complete kabisa. Shukrani na abarikiwe kila asomae Post...
Jamani huko vijijini watu wamekuwa wakitumia ulimbo kuwategea ndege wadogo mashambani au sehemu za vichaka ndege wengi wanapotua. Huo ulimbo unatokana na utomvu mzito wa miti fulani ambao...
MHE. JUMA USONGE - ZANZIBAR NYAMA NI ELFU 13 KWA KILO, TANZANIA BARA NI ELFU 6-7 KWA KILO
"Ipo tozo ya halmashauri, ipo tozo ya kijiji ambayo inachajiwa kwa ng'ombe yuleyule mmoja anayeenda...
Habarini wanaJF,
Samahani naomba kufahamu kwamba ni zao gani ambalo Lina mzunguko mkubwa sokoni kwa hapa Tanzania. Ninataka kuanzisha kilimo mda sio mrefu, Ila sasa sijajua kwa kipindi hiki in zao...
Wakuu habari za leo,bila shaka wazima na mnaendelea namihangaiko yenu ya kila leo. Naomba msaada wa kujua ni zao gani nilime kipindi hiki huko ili na mimi nijitose mzima mzima kwa mara ya...
Habari wadau, poleni kwa majukum.
Lengo la Uzi huu ni kupata maoni yenu.
Nina shamba la ekari 3 lipo eneo la mitonga -mbanja Lindi. Ardhi yake ni ya mchanga, mazao yanayostawi ni pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.