Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Huu ni Uzi maalum kwa wapenzi wa mbwa, wafugaji na wafanyabiashara wa mbwa, wauza madawa na tiba za mbwa, wauza vyakula vya mbwa, na wadau mbalimbali wa mbwa.
3 Reactions
28 Replies
1K Views
KWA MAHITAJI YA VIRUTUBISHO VYA MAX PIG PAMOJA NA VIFAA VYA NGURUWE KAMA VILE #EARTAG#TEETHCLIPPER#PIGNIPPLE#WEIGHTTAPE#MZANIWACHAKULA# ■WASILIANA NASI 0656 446 991 0774 608 608 ■DAR ES...
0 Reactions
0 Replies
417 Views
Loe nilipita Super Market ya Village Supermarket kununua maji tu ila nikazunguka zunguka hasa sehemu za vyakula, huwa mara nyingi nafanya hivyo. Kuna vitu vinasgangaza sana Bongo hii, Pale...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Msimu wa Kupanda Miche ya Matunda Umefika! Farm Side Company Ltd, tunakuletea miche bora ya matunda kwa muda mfupi! Tunatoa: ✅ Embe (Tommy Artikin, Kent, Red Indian, Apple Mango, Dodo, Alphonso...
0 Reactions
2 Replies
568 Views
Anayejua gharama za ulimaji mpaka uvunaji Shamba lako lipo wapi. Gharama zinatofautiana kutokana na eneo ulipo. Nitakupa gharama ninazofahamu mimi kwa mahali nilipo. 1: Natumaini shamba unalo...
0 Reactions
33 Replies
23K Views
Serikali Imeendelea Kuhamasisha ufugaji wa samaki kwa vizimba nchini. Kwa kipindi cha mwaka 2000 hadi 2024 Jumla ya vizimba 222 vilitolewa kwa wananchi 1,213 ambao wanatokana na vyama vya ushirika...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Watanzania wengi tumewekza sana kwenye biashara za kuigana mwanzo mwisho na tuna sahau kuna gap kwenye kilimo cha vyakula wanavyo tumia sana foregners wanao iahi Tanzania. Na kwenye Kilimo hata...
7 Reactions
2 Replies
996 Views
Kuna vitu ukivitaja unalima au unafanya watu wanaweza kukuona kama umechanganyikiwa jwa sababu kuu 1 tusha zoea yale mambo ya fuata mkumbo yale ya mass, yale mambo yanafanywa na wote.Kama ni...
1 Reactions
0 Replies
292 Views
Nahitaji rain gun yenye radius ya kurusha maji metres kuanzia 40 hadi 60. Inauzwa bei gani
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Aina NI hausqavar Imetumika miezi mitatu Bei 1.5
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Habari za muda huu naomba msaada ni tiba gani inafaa kwa kuku wanaofunga macho na kutoa uchafu km maji ya sabuni ya kipande ilio lowekwa. (Ulenda ulenda). Na huu ugonjwa unatokana na nini pia...
3 Reactions
16 Replies
47K Views
Habari wadau!! Kuna ukweli gani kuhusu utagaji wa hawa kuku chotara aina ya SASSO na Kuroiler! Inavyosemekana kuwa wanachelewa sana kutaga na hawatagi mayai mengi, kama ukitaka kufuga hawa...
3 Reactions
56 Replies
28K Views
Habari wanajamvi, Kuna jambo nimeona la kushangaza kidogo katika maonyesho haya ya sabasaba katika banda la Wizara ya Kilimo na Uvuvi, kuna sanamu ya huyu samaki anayeitwa coelacanth au silikanti...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hallo wakuu niko na mbwa jike hapa nyumbani nifanyeje asizae tena? Maana midume humfuata hapa nyumbani, Ushauri tafadhali
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Wakuu kheri ya mwaka mpya kwenu nyote, natumai mko poa. Hongereni pia kwa mapambano ya kilimo. Wakuu nahitaji muongozo kadhaa kuhusu kilimo Cha mahindi. Nahitaji kwenda kufanya kilimo cha mahindi...
5 Reactions
26 Replies
7K Views
Habarini za mwaka mpya wana Jf! Baada ya muda mrefu kuto post makala humu (nimekuwa busy kwenye media zingine kama instagram, utube,whatsap,telegram..),acha leo nichangie kidogo maana nimeona...
9 Reactions
65 Replies
17K Views
Nimefanikiwa kupata ardhi yenye ukubwa wa ekari 200. Ni eneo ambalo bado ni pori. Huenda halijawahi kulimwa tokea liwepo, pengine. Kwa kuwa ni eneo kubwa, ninakusudia kulifanyia kazi taratibu...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Napenda sana kufunga ndege wanaofugwa kama kasuku,mdau anayejua wanauzwa wapi anijulishe
1 Reactions
6 Replies
539 Views
Ndugu zangu habari za Leo!Ningependa kuwaauliza kuhusu biashara ta RED MERCURY(ZEBAKI NYEKUNDU). Nimepata taarifa kuwa hii kitu inatafutwa miaka nenda miaka rudi je ni kweli kitu kama hiii...
0 Reactions
49 Replies
27K Views
Salaams Wapendwa wangu,,....!! Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!! Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!! Mimi...
4 Reactions
283 Replies
32K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…