Habar wan Jf.
Nimefurahi kufika kwenye jukwaa hili. Nachohitaji ni msaada wa mawazo. Mi nimemaliza Bachelor mwaka jana, but mpaka leo ajira kwangu ni ndoto kuipata. Nimeamua kuwazia biashara...
Habari zenu
Kuna watu wamekuwa wakiniulizia ideas za biashara lakini wakiwa na mitaji midogo chini ya 500,000 sasa nimeona ni share ideas chache nilizonazo ili vijana wengi waweze kujiajiri na...
Mfano mtu ana mtaji wa laki5,anaweza fanya biashara gani ambayo itamuwezesha kuongeza mtaji huo had kufika labda milion 5 hivi.na kwa kukadirika itachukua muda gani.naombeni ushauri na mawazo...
Wakuu, naomba ushauri kuhusu biashara ya kutuma fax. Nina stationery yangu Tabora, nafikiria kuweka huduma ya fax manake kuna mteja mmoja mmoja wanapitaga kuulizia hii huduma. Kwa vile sina uzoefu...
Me ni kijana. Wa miaka 26
Naomben msaada wenu natumai mtani saidia
Nina shilingi milion 2 je hizi hela zitafunguwa kitega uchumi kipi ili kini lete faida wakwabwa natumai mtanisaidia na mawazo
Kwa wajasiliamali wanaonata kujikita kwenye mambo ya utendenezaji na kudisign kadi mbalimbali za mialiko ya harusi, send off, kitchen party, maulidi, kipaimara unaweza kunicheck kwenye namba 0718...
Habari, wakati wengi wakiendelea kutafuta mitaji ya biashara nimeona si mbaya kama tukipeana riziki. Nina deals mbili kama ifuatavyo:
1 - Nahitaji mtu binafsi wa kunikopesha kiasi cha milioni 100...
habar wana jf, kwa muda mwingi nimekuwa nikiwaza ni biashara gani naweza kufanya pasipo kupata jibu nina mtaji wa sh.2m je nibiashara gan naweza kufanya! Pleas jaman naitaji msaada wenu jaman
mimi ni kijana niliyemaliza form six, nimepata kamtaji shilling milioni moja, nataka kufanya biashara, ila mpaka sasa sijui nifanye biashara gani, naombeni ushauri wenu wanajamvi.
Ndg wana jf,hivi karbuni nimepata sh laki saba ni zaidi ya mwezi sasa..najiuliza niifanyie biashara gani?
Naishi kigamboni dar and am 22yrs.
Nisaidieni jaman niko siriaz 100%.
Wakuu kuna fremu zinapangishwa Morogoro.
Ziko 5 mahali pamoja - ingawa moja imeishachukuliwa na imeanza biashara tayari. Fremu ziko maeneo ya B-Z hotel. Actually, ziko eneo kati ya B-Z na...
Ndugu zangu wana JF, mimi ni mhitimu wa chuo kimoja hapa nchini,nimesomea mambo ya ujasiriamali haswa hivyo inabidi nijiajiri mara baada ya kuhitimu na muda wenyewe ndiyo huu. Ubunifu ninao tena...
Habari zenu wadau. Katika michakato yangu ya kaz nataraj kupata sh. Mil. 5, napenda kuzifanyia biashara kuliko kuziweka tu mahali. Ninaishi Dsm, naomba msaada wa mawazo kwa yeyote, biashara gani...
Hii inalipa au?
Kuna mtu kaniambia anao mzigo nimtafutie masoko ya nje ya nchi lakini mimi sijui cha kufanya kwani naskia ma Chinese ndio wanunuzi wakubwa lakini hapa bongo nako naambiwa kuwa...