wadau nataraj kupata mil. 5, mwaweza nisaidia idea ya biashara na eneo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wadau nataraj kupata mil. 5, mwaweza nisaidia idea ya biashara na eneo

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Rwey, Jul 24, 2012.

 1. R

  Rwey Senior Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 103
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Habari zenu wadau. Katika michakato yangu ya kaz nataraj kupata sh. Mil. 5, napenda kuzifanyia biashara kuliko kuziweka tu mahali. Ninaishi Dsm, naomba msaada wa mawazo kwa yeyote, biashara gani naweza fanya na maeneo yapi, ili niweze kuona faida ya uwekezaji wangu. Asante
   
 2. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  biashara ya mikopo midogo midogo ya dharura. nitafute tuongee . namba yangu ni 0655 308308
   
 3. Madiba

  Madiba JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2013
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Anzisha uwakala wa M-Pesa, Luku n.k.
   
Loading...