Nifanye nini ili kuongeza utagaji kwa kuku wa kisasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanye nini ili kuongeza utagaji kwa kuku wa kisasa

Discussion in 'JF Doctor' started by the kapex, Feb 15, 2011.

 1. the kapex

  the kapex Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba msaada wa kitaalam kwa sababu kuku wangu utagaji wao uko chini sana kiasi ha asilimia 65 na si zaidi tena hapo wamejitahidi sana mara nyingi wana kuwa chini ya hapo
   
 2. p

  paudongo Member

  #2
  Apr 23, 2013
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao watakuwa wamefikia muda wa kupumzika kutaga, ni hali ambayo itabadilika na wataanza tena kutaga kama kawaida, kwa sasa Jaribu kuwapatia vitamin,
   
Loading...