Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wakuu habari zenu na poleni na miangaiko,Happy new year,wadau natafuta sehemu ya kukodisha kwa ajili ya Car wash na tyre fitting,naangaika mwezi wa pili sasa,na pia kuna sehemu zingine rent ni za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Linaukubwa wa eka 360 lipo wilaya ya Mpanda linahati miliki, linafaa kwa kupanda miti ya matumizi ya nguzo za umeme(milingoti) kwa mawasiliano.0653 4022 99/0757241118
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A.alykum wana JF, nina mtaji wangu pia ninaona fursa kubwa juu ya hizi biashara za nafaka, nimeamua ku segment na kuchukua biashara ya mchele, masoko nayaona ila upatikanaji wake ndio imekuwa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Hi Wanajamvi, hebu nipeni ushauri maana napata hasira, Nina kampuni yangu kwahiyo kila nikiajiri huwa na train sana staff ili waelewe kazi kwa ufasaha kabisa na huwa na pia nina hire trainers wa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwaka umeanza vyema kwa upande wangu, maana jana nilikuwa maskini lakini leo nimeamka tajiri kidogo kwa kupata TShs. 50M. Ingekuwa ni wewe ungezifanyia biashara gani? Ushauri wako ni muhimu Sent...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam ndugu zangu! Nimekusanya kusanya hatimaye nimefanikiwa kupata kiasi cha Shilingi million kumi (10,000,000) changamoto ni kwamba nataka kuhama mkoa kutokana na familly comflicts. Sasa mawazo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamani mimi ni msichana mwenye miaka ya 20 na, nina wazo langu la kufungua shamba la kiti moto (kwa Imani yangu ) .ila nilikuwa naomba ushauri jee iringa mafinga Ama pwani? , asanteni na mungu awe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF Naomba msaada kwa mwenye ufahamu khs brand gani inauzika zaidi ktk soko la vifaa vya ulainishaji mitambo ya pikipiki hasa hizi kama San LG ,Fekon,Bajaj na Boxer .Nisaidiwe kujua ni wp...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari za muda huu wandugu Mm ni kijana mwnaume nina umri wa miaka 25 nafanya kazi kwenye shirika fulani la kitalii hapa mjini Moshi Kilimanjaro kazi yangu namshukuru Mungu inanilipa kwasasa nina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mahali: Mwasonga- kigamboni umiliki: Kina hati ya serikali za mitaa ukubwa: Nusu heka bei: Sh m.6 maelewano kidogo yapo. Umbali kutoka kigamboni: Km 23 umeme: Haujafika nb kipo nje ya eneo la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman naombeni kujuzwa kuhusu faida ya tgo pesa na m pesa mtu anaipata vp..?
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Habari za jioni wana jm,naomba msaada kwa mtu aliye morogoro mjini, biashara gani au mradi gani unafaa kwa mtaji wa sh milion 1 na nusu,tafadhali saidia mawazo.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
kwa wanauza au wanataka kununua >mashamba >nyumba >kupangisha >cm >nakitu chochote wasiliana nasi kwa 0786584800 au donardgeorge@gmail.com kwa walio mbeya tu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu! Mimi ni mdau mpya humu!ninarafiki yangu ndo alinielekeza huku baada ya kumuelezea kuhusu maisha yangu na kumuomba ushauri,mimi wakuu nimegraduate mwaka huu! Nilifanikiwa kupata mahali pa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
wakuu,nimekuwa nikipitia tovuti mbali mbali zinazohusu biashara tofauti za mtandaoni,kama vile magari,bidhaa za kielektroniki,kwa kweli kuna vitu vina ubora na bei nafuu,hata usafirishaji wake...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Heshima natanguliza. Baada ya kuzunguka katika maduka na supamaket kadhaa, nimepata oda ya kusambaza unga wa lishe. Tatizo hata sijui vifungashio nitavipata wapi. Tafadhali naombeni msaada...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
ndugu zangu nipo morogoro naitaji kufungua biashara ya kuuza kitimoto ningeomba wenye uzefu mnisaidie nijue mambo ya msingi yakuzingatia na kama kuna mtu wa morogoro mjin anisaidie jinsi ya kupata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamii wenzangu ni maeneo gani (Trading centre) yaliyokaa vizuri kwa Biashara kama kuchaji simu, secretarial services, kuonyesha TV kwa ku tumia solar ambayo yapo nje kidogo ya jiji la Dar na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nigependa kujua ni mtanda upi I.e tigo-pesa, airtel-pesa, vodacom-mpesa etc unatao huduma bora kama vile kuunganisha bank account and account yako ya simu kama nilivyoeleza hapo juu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la mwenyezi Mungu, nikitumaini mu_wazima wenye siha njema. Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kufahamu wapi wanapo 'publish' vitabu popote kwa mikoa ya Mwanza, Dar, Arusha na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…