Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari zenu wana jamvi! Ninakusudia kufungua duka la vifaa vya umeme, naomba msaada juu ya uendeshaji wake, kima cha chini ambacho ni kizuri kuanzia mtaji, hasara na ulipaji wake, na changamoto...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nina mtaj wa million mbil je unafaa kuanzisha biashara n if yes ni biashara gan mim biashara nilizokuwa nawazia kil nikijaribu kuuliz ambao wanafana wananiambia mtaj million mbil kwahy imekuwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Reuters) - The world's largest chicken breeder has discovered that a key breed of rooster has a genetic issue that is reducing its fertility, adding to problems constraining U.S. poultry...
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Niwakati wa kua Makini na Mikataba ya uwekezaji ya Kilimo- kulingana na upeo na fikra na ulimbikeni wa viongozi tuliona-tusipokua makini matokeo yatakua ni tofauti na matarajio ya wananchi... ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji kuanzisha kampuni ya usambazaji wa muziki ama Music Store Company Mojawapo ya njia ya malipo ni M-pesa nahitaji kufahamu namna ulipaji wa M-pesa ama tigo-pesa na njia kama hizo unavokuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni tarehe 20/09/2014 ndani ya Landmark Hotel, ni semina ya aina yake kuwahi kufanyika. Nitakuwemo katika wale watakao toa mada siku hiyo. Ni fursa pekee kwa wafugaji na wanaohitaji kuanza kufuga...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mim ni kijana mwanaume naishi dar es salaam,nahitaji kwenda kufanya biashara msumbiji,ninamtaj wa sh. 600000.naomba wafanyabiashara wenyeuzoefu wa huko wanisaidie n biashaea gan ya kufanya.na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Toyota landcruiser prado imelipiwa kodi zote, Engine 1kz Diesel 2900cc Bei 25m Contact 0757 455070
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau, nimekuwa na idea kichwani kwangu muda sana ila nashindwa sijui nianzie wapi. Nimepata bahati ya kusafiri nje ya nchi kila mwaka mara mmoja na kaa uku miezi sita (Denmark), nikapata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nyumba ipo kinyerezi dakika tano kutoka Mbuyuni ina sebule kubwa, na nafasi ya home office, dining room ya kutosha jiko,Store, Choo cha public, vyumba vitatu vya kulala kimoja ni Master bed room...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi majuzi tumesikia jamaa yetu akituimbia kuwa biashara zimejaa mapato wakati mishahara imejaa makato. Yeah, ni jambo zuri hata kama unafanya kazi, ukawekeza kile kidogo cha ziada ili kikue...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina eneo la ekari mbili himo km mbili kama uaelekea Himo' liko Barbara ya lami karibu name hotel ya Dar exp. Kama Luna mdau anataka kuwekeza kwenye biashara ya mafuta au apartments tuongee
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Hello jf mabibi na mabwana natumai ni wazima wa afya baada ya wikiendi. Ndugu mwanajamii baada ya kuomba ushauri hapa jukwaaa la ujasiriamali, nimeamua kwa ridhaa yangu kuwa mfugaji wa kuku wa...
2 Reactions
59 Replies
17K Views
Ndugu wana JF mimi ni mtumishi wa umma nimehamishiwa kikazi katika eneo lenye miinuko mikali sana , nimekuta wananchi wa huku wanalima mpunga wa kwenye miinuko (Hill Rice) . Changamoto kubwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kware anaetaga 15000 tray ya mayai kwale 25000. Nitafute kwa 0713878737
0 Reactions
9 Replies
4K Views
https://itunes.apple.com/au/album/the-best-of-rama-dee-2000-2013/id684838976
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imetoka japan Manual transmission 1HZ engine Imelipiwa kodi zote Long chassis Bei Tshs 60m Call 0757 455070
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Je unahitaji nembo au logo itakayoweza kuwakilisha biashara yako mahali popote pale.Basi wasiliana nami ili uweze kupata logo iliyo simple na yenye uwezo wa kuwakilisha biashara yako mahali popote...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Mimi mjasiliamali na zaid nimewekeza katika kilimo cha mpunga na chai... Kwahyo natafuta soko la mchele pia napokea oda tofauti za mazao.... kwa jumla na rejareja....
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom