Vikindu, Kisamvule, Mkuranga, Mwalusemde au Kimanzichana naweza kupata....

SHAIDI

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
262
250
Habari wana jamvi, mimi ni mjasiliamali nimeanza kutengeneza mabanda kwa ajili ya ufugaji wa nguruwe naomba kujuzwa kama naweza kupata vifaranga vya nguruwe maeneo tajwa hapo juu. hata kama nitahitajika kuweza oda ya vifaranga vya nguruwe au kama kuna mwanajamvi anafahamihana na mtu yeyeto mwenye kujishughurisha na ufugaji wa nguruwe maeneo hayo nitashukuru kupata mawasiliano yake.

pia tunaweza kushirikishana kwa kupeana mbinu na changamoto kwenye ufugaji wa nguruwe na kuku wa kienyeji katika maeneo tajwa hapo juu
nimeanza shughuri ya ufugaji katika kijiji cha miteza, wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani.
no yangu 0765510492
0715034565
 
mob

JF-Expert Member
Dec 4, 2009
2,270
2,000

mkuu fika mkuranga ulizia kwa masister watakupeleka kule huwezi kukosa
 
Kitumbo

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
550
195
Kuwapa kero watu tu! asilimia 95% ya wakazi wa huko ni waislam wewe unawapelekea kitimoto si kuwasababishia nuisanse bure? Kwenye ujasiriamali pamoja na kutafuta faida kuna haja ya kuangalia social implication ya investment yako
 
Ibravo

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
533
250
Habari wana jamvi, mimi ni mjasiliamali nimeanza kutengeneza mabanda kwa ajili ya ufugaji wa nguruwe naomba kujuzwa kama naweza kupata vifaranga vya nguruwe maeneo tajwa hapo juu. hata kama nitahitajika kuweza oda ya vifaranga vya nguruwe au kama kuna mwanajamvi anafahamihana na mtu yeyeto mwenye kujishughurisha na ufugaji wa nguruwe maeneo hayo nitashukuru kupata mawasiliano yake.

pia tunaweza kushirikishana kwa kupeana mbinu na changamoto kwenye ufugaji wa nguruwe na kuku wa

Kisemvule hawataki ufugaji wa kitimoto peleka sehem nyingine.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom