Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Nina asali mbichi kutoka kutoka mpanda na nyingine ya hapa Tabora natafuta nina dumu za Lita 20 kama 50+ Mwenye kujua soko aniambie
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za Leo wadau, Naomba kujua kama kuna mabadiliko ya price kwenye vyakula vya kuku " MASH" katika mabadiliko yanayoletwa na budget mpya inayoanza Leo.Naongea haya kutokana na omission ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nipo Dar, nahitaji mbegu kwa ajili ya kufuga samaki, natafuta mbegu ya samaki na kambale, nitawapata wapi na ni bei gani?? Nisaidieni wadau
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari za majukumu, niko na hiyo pesa ningependa mawazo yenu ya biashara ipi hususa ya uchuuzi- yaani kutoa bidhaa point A kwenda kuuza point B kwa faida Siko interested sana na Kilimo wala...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimebakhtisha compressor,machine za kuchomelea (Gas/Umeme) na za rangi. Pia spanner za ku unga unga nimeokoteza.Pia kuna mbao za kutengeneza bench. Kijiwe tufungue pande zipi? Karibuni wadahu.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau nataka kuanzisha biashara ya mkaa hapa dar, jumla na rejareja. naombwa kujuzwa sehemu naweza upata kwa jumla kwa bei nafuu hapa dar au msaada wa mawazo kwa aliyejaribu . au eneo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SHADENET GREENHOUSE: NJIA SAHIHI KATIKA MAFANIKIO YA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NA MATUNDA •Ni shamba lililozungushiwa uzio wa net juu na pembeni. •Ni jengo maalum ambalo ndani yake ni mahususi kwa...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Habari wana jf Mimi no mjasiriamali ninaemiliki ka daladala kamoja hapa jijini. Katika harakati zangu za kuongeza mtaji nilipata kipeperushi cha hiyo kampuni tajwa hapo juu kwamba wanatoa mikopo...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Habari za Leo wadau na wajasiriamali wenzangu, Nauza mayai ya kisasa,tray TZS 6500.Kwa yeyote anayetaka tunaweza kuongea na kukubaliana bei nzuri zaidi,Nina uwezo wa kukupa au kukuletea ulipo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi, Natumaini wazima wa afya nategemea kulima mboga mboga Bagamoyo na kusambaza mjini Dar mwenye uzoefu wa kilimo hiki na changamoto. Naomba msaada aiseeh!
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Wadau katika pita pita zangu nimekuwa nikisikia juu ya ongezeko la kodi kwenye maeneo mbalimbali ya uchumi. Aidha watu wengi wamekuwa wakilalamika juu ya ongezeko la kodi kwenye vinywaji vya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada ofisi gani nahitaji kupita ili niweze kupata kibali cha kupaki chakula cha binadamu?? Asante.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau wa jf. Kumekua na shida ya watu kadhaa kuhitaji kufanya ufugaji wa samaki ila wanakosa mtaalamu wa kusimamia mradi mwenye uelewa wa ufugaji huo.hivyo kwa yoyote mwenye uhitaji wa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wanajf,nimekuwa na ndoto kubwa juu ya kilimo hasa cha umwagiliaji,na nimekuwa nikiamini kuwa kilimo ni moja kati ya miradi ambayo itaniwezesha kuzifikia ndoto zangu. Mazao ambayo nahitaji...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Habari zenu wandugu Baada ya kuwa nimepitia thread mbalimbali hapa jukwaani hasahasa zinazohusiana na masuala ya ujasiriamali, zaidi nilijikita sana katika zile zinazohusiana na biashara ya vifaa...
7 Reactions
52 Replies
6K Views
Hii ilikuwa ndoto na hitaji la walio wengi - Kupata sehemu ya kufundishwa ujasiriamali, biashara na fani mbalimbali kwa muda mfupi na muda mrefu kwa gharama nafuu na muda ambao mtu yeyote anaweza...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Halow wana jf Naamini humu kuna mabinti kama mimi yani 22-25.....nina wazo la biashara ila wasiwe waajiriwa nataka tuwe group la watu watano Sifa 1.Usiwe mvivu 2.Usiwe muoga (yani tukipanga deal...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wana jamvi, Kama nilivyo tanguliza maombi hapo juu kuhusu kufungua kampuni ya mechanical maintenance & services. Binafsi ni mechanical engineer na ninauzoefu wa kazi viwandani, kitambo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari Wanaohusika!! Nilikua naongea na business partner wangu kuhusu kuwa official kibiashara nikamwambia tusajili kampuni,yeye akasema kwa nn tusisajili jina la biashara?? Sasa nashindwa...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Back
Top Bottom