Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana niliyehitimu chuo fani ya ugavi na manunuzi, kutokana na ugumu Wa ajira niliamua kubuni wazo la Biashara ili nisipoteze muda. Nilifikiria kuanzisha Biashara ya...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari za leo wana jamiiforums. Nataka kulima kisasa lakini sina ujuzi wa kutosha katika masuala ya kilimo. Nina mtaji kiasi. Nataka nianzishe kampuni yangu ya kilimo cha mboga mboga. Natafuta...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana JF Naishi USA nimepata order ya copper, mnunuzi anahitaji 20 au 40ft container. Wadau mlio serious ni biashara hii wekeni contact zenu, unatuma container likifika ndio malipo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu anaefahamu bei ya jola la kitambaa plan cotton % ya kutengenezea batiki na vinapopatikana
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Umri wa siku 1-3 kwa 1400 tu. Mawasiliano 0717221590
0 Reactions
24 Replies
6K Views
anayefaham bei ya jumla viazi vya chips mkoani Mbeya anijuze
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nataka kufanya biashara hiyo hapo juu huku ninakoishi. Kwa wazoefu; Nahitaji kuwa na mtaji kiasi gani? Vitu gani vingine vinahitajika? Asanteni kwa mawazo yenu.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wadau nataka niwe nafanya biashara ya rim msimu wa shule zinapofungua..wakati huo nakuwa nimeshapitia mashule kadhaa na kujihakikishia soko kabla shule hazjafunga..ivo nisaidien ambapo naweza pata...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naombeni nifahamishwe kuhusu gharama za kusafirisha mbao toka Mafinga kuja Dar es salaam. Je,unafata mtiririko upi ? Je, pia kwa mkoa wa Iringa biashara ya mitumba inalipa?
0 Reactions
10 Replies
7K Views
habari wanajamii wezangu, ninahitaji kujua ni sehemu gani wanauza mashine za kuranda mbao na ni kwa bei gani Jijiji Dar, uwezo wake na ipi ni bora zaid kwa kuanzia biashara hii! matumizi yake ya...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Natafuta mashine ya kuangulia mayai. Mwenye info mahali zinapopatikana na bei zake kulingana na capacity. Kama hutajali na mashine ya kuchanganya chakula.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ya kwenu wanajukwaa. Naomba uzoefu kwa aliyewahi au anayefanya biashara ya mchele wa jumla kutoka mbeya na shinyanga au Morogoro kupeleka mikoani hasa kilimanjaro. Nahitaji kufahamu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya kupitia post mbalimbali juu ya kilimo biashara nimeona leo niwape ushauri baadhi yenu,nimeona wengi wenu mnahamasika sana na hizi post au mmefanya maamuzi kutokana na hizo post. Sio jambo...
3 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wanaJF. Bado natafuta mtu anayeuza samaki(Sato & Sangara) kwa bei ya jumla Dar es Salaam. Nataka fungua bucha ya samaki. Plz kama uko Dar tuwasiliane kwa namba hii 0769141105. Asante
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Nisaidieni kupata AUTOMATIC INCUBATOR yenye uwezo wa kutotoa mayai 300
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Achana na manual work leo, Anza kutumia mfumo mpya na wa kisasa kabisa katika kurekodi na kupata ripoti pale unapohitaji.... Cashier Management System for school ndio jibu lako, acahana na...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Baada ya Kuona sehemu ya kwanza kitu gani kinasababisha kushindwa katika biashara ya network marketing, Leo tunaongelea sehemu ya pili kitu gani kinakuweza kukurudisha nyuma ushindwe kufanikiwa...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu hili jukwaa limekua jukwaa la kusaidiana mambo mengi sana. Msimu huu wa kilimo nimeandaa shamba kubwa la ufuta.shida yangu kubwa natafuta mwakala wanaosambaza hii dawa inaitwa (ROUNDUP)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna simu nimeagza, imekuwa shipped na DHL, wamenipigia kuwa wamelipia kodi kwa hiyo wanavyokuja kuniletea niandae pesa ya kuwarefund (laki na ishirini), declared value ya hiyo parcel ni kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom