Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu ngazi ya degree, nina uzoefu wa uhasibu wa miaka miwili katika kampuni binafsi hapa Geita. Nina lengo la kuanza biashara ya kuwasaidia wafanya biashara wadogo wadogo...
RuVu wameshindwaaaa kazi cjui nimeoda vifaranga ila hata awarespond chochote nimewafata waanaandila oda.wanakwambia nenda tutakujulisha ukiwapigia wanakuwa kama awaijui oda yako.....
Chosha...
mimi nimebahatika kupata Tsh millioni 5 na nimeplan kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kupokea pesa kwa njia ya mitandao ya simu tigo pesa,m.pesa, na airtel money,je ni changamoto zipi...
Salamu waungwana,
Kuna mdogo wangu kapata kazi kwenye NGO moja, kwa nature ya kazi zake muda mwingi hua yuko free just sitting in the office wasting much of his especially on different social...
Wakuu habari za asubuhi?,Naomba mwenye namba ya simu ya kampuni inayozalisha mbegu za nyanya aina ya Edeni F1,na Rio Grande anisaidie.Naomba kuwasilisha.
Backyard poultry, ni washirika wa wajasiriamali hasa wafugaji katika uzalishaji na uuzaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji pamoja na chotara kwa gharama nafuu.
Vifaranga wetu wa siku moja...
Habari wanajamvi.
Natarajia kufungua company itayojihusisha na events kama wedding, matamasha N.k...
Naomba kujua gharama na upatikanaji wa Tents, hasa zile za kufanyia open events.
Natanguliza...
Kwa watu ambao mpo morogoro fursa ya wewe kufanikiwa kimaisha inakuja tarehe 13 mwezi wa 6 mwaka 2015 endelea kunifuatilia mimi
kama upo morogoro mjini na hata kama utaweza kuwepo mjini siku hiyo...
Wakuu JF,
Kutokana na changamoto ninazozipata katika maisha. Natamani sana kuwa mjasiriamali HASA biashara ya mazao(cereal business) pamoja na ufugaji wa kuku (hasa wa kienyeji).
Hivyo vyote...
Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha sauti?Je sauti yako inaweza kutumika kurekodi matangazo ya redio?Kama jibu ni ndio,basi jiandikishe nasi leo ili ushiriki usaili wa sauti kwa ajili ya...
coolmate group of companies (t) ltd
tunatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa nadharia na vitendo, tumebobea katika kufundisha namna ya kutengeneza batiki (vikoi), sabuni ya maji, dawa za vyoo...
Welcome to A1 Truck Exporter Ltd
One of the most experienced Exporters of Used and New Trucks ie Tractor Units
Rigids and Tipper Trucks
Vans & Cars,Trailers,Plant Equipment,Tractors from the...
Nataka kupeleka material ya pp na pet Naona wachina wanaitana tu na kujazana kwetu wakati nasi tunaweza kufanya na tuna uzoefu wa kutosha kupata malighafi.
10 acres; Bei: $ 350,000
Simu: 0787 528745
Umeme, kisima, mabanda matatu na kila banda linabeba kuku 12,000; godown, kinu cha kutengeneza chakula cha kuku,mashine ya kunyonyoa kuku, cold room...
Kwa anaejua biashara ya Suzuki carry naomba hints kidogo kwenye changamoto (challenges) , faida, carry aina gani ni nzuri na management yake Kwa ujumla .....
...
JF Support Team
Naomba kutoa pendekezo la kuwepo kwa KILIMO NA UFUGAJI FORUM ndani ya JF kama zilivyotengwa forum za Business & Economic, Jukwaa la Siasa n.k. Kwa sasa naona mada nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.