Kina pesa sana watu wanajenga na kununua magari kwa heka moja ya mboga mboga kikubwa uwe na pump ya kumwagilia.
Ndugu wana jamvi natumain wazima Wa afya nategemea kulima mboga mboga bagamoyo na kusambaza mjini dar mwenye uzoefu Wa kilimo hiki na changamoto naomba msaada aiseeh
Mtafute mariam mbewa anatumia jina hilo facebook...! Fuatilia picha alizopost humo...pamoja na contact zake!
mkuuu mbona huyo Mariam unayesema hakuna hizo taarifa
0767767676 piga hiyo namba ni namba yake
nashukuru mkuuu nmempata lakin kaniambia ana deal na greenhouse
Greenhouse means ni kilimo cha mbogamboga na maua...labda hujamfafanulia vizuri...what exactly you want to know from kilimo cha mbogamboga...! Mpigie na umuulize kiundani...! Yeye ana mashamba ya mbogamboga huko bagamoyo...!
nashukuru mkuuu kaniambia nmcheki jumatatu nione atanipatia mwanga gani ili niweze kufanikisha hili zoezi mungu akubaliki
Ndugu wana jamvi natumain wazima Wa afya nategemea kulima mboga mboga bagamoyo na kusambaza mjini dar mwenye uzoefu Wa kilimo hiki na changamoto naomba msaada aiseeh
wana jamvi naomba niulize mwenye uzoefu wa hili eti heka moja naweza nikaliandaa kmtaji wa hiki kilimo kwa heka ni kiasi gani:

kama umedhamiria na uko vizuri kiuchumi sema tukuunganishe na wataalamu wanaotumia mifumo ya kisasa ya shamba kujimwagilia lenyewe (automatic irrigation) kwa gharama nafuu sana
Hebu eleza kidogo kuhusu automatic irrigation.