Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Kwa wanafuga kuku dawa bora ya kukinga na kutibu kideli. Ng'ombe, mbuzi, nguruwe, na mifugo mingine yote zipo dawa za minyoo. Tibu mifugo yako. Tuwasiliane wandugu 0763797853
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Natumai wewe kama mfugaji ulisha kutana na ugonjwa huu gomboro kuku kushusha mabawa na kukonda ya pili kideri kuku hushusha mabawa na kukonda zingatia chanjo hizi wakati wakiwa vifaranga hutaona...
2 Reactions
14 Replies
18K Views
Jaman nahitaji wasichana watatu jobles na wenye elimu ya kidato ca nne kushuka chini. Nategemea kufungua migahawa miwili hapa dar hivyo naowahitaji ni kwa ajili ya uhudumu!! 0755957515 sms or...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za usiku wana JF naomba msaada kwa mtu yeyote ambae anaweza kujua ni kampuni gani inayo uza farmer's kit kwa bei nafuu. Natanguliza shukrani zangu za dhati
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Tangazo hili linamhusu mwenye mtaji na nia ya kufanya biashara ya stationary maeneo ya Moro town. Ofisi iko eneo zuri kibiashara na inalipa kwa kweli. Kwa upande wangu usimamizi umezingua baada...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mfano wewe unaishi Dar es Salaam, na umewekeza shamba labda Morogoro au Iringa au Singida au Shinyanga, hii iko sawa au mpaka uwe na shamba lililo karibu na wewe?? Kuna baadhi ya marafiki zangu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kumaliza chuo niliamua kufungua biashara kutokana na changamoto za ajira,nikafungua biashara ya duka dogo kwa mtaji wa laki 3,nilianza na vitu vichache sana lakini muhimu kwa wateja kama...
15 Reactions
29 Replies
10K Views
Kwa mahitaji yako ya viranga vya sato tafadhali wasiliana nasi kupitia namba hii 0717314500. Tupo Dar es Salaam Cheka, njia ya kwenda Kimbiji Kilomita 24 kutoka Kigamboni Ferry. Vifaranga vipo vya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari, Wapendwa naomba msaada nataka nifanye biashara ya kuuza Sendoz za kimasai nitoe Dodoma nkafungue duka Mkoa mwingine ambako ni adimu kupatikana. Sasa naomba kujua nitapata wapi nchukue...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Baada ya kuona maisha yamekua magum nyumban na uwezekano wakwenda shule mwaka huu kuwa mgum nimeamua kujtoa muhanga kwenda mkoa wa iringa ili kuangalia fursa mbalmbal ambazo zaweza kúnisaidia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba msaada kwenu.... Nategemea kupata kuku wa nyama hivi karibuni hivyo naomba kupewa maelekezo pindi tu watakapofika. Kuku watakuwa 200 , banda lipo zuri, . Chakula gani na...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Incubators full automatic zenye uwezo wa kuchukua mayai 528 kwa wakati mmoja zinapatikana pamoja na garantii ya mwaka mzima! wasiliana na namba 0763 395933 au 0785 670038. Karibuni sana
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Je umeshafanya biashara yoyote bila mafanikio? au kujarb harakat zozote za kujikwamua kimaisha bila mafanikio? Kama jibu ni NDIO tuone sisi wataalam wa semina za ujasiria mali tukupe mbinu na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wajasiriamali nauliza soko la uhakika la samaki aina ya kambale au Catfish....Hivi kuna hotels ambazo wanatumia hawa samaki.? au naweza je kufanya value addition.?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana JF Nauza htc one s 250k, Ncheki apa 0718764507 kwa aliye serious tu.
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Wanajamvi natafuta mayai ya kuku wa kisasa kwa ajili ya kuuza maana nina fremu yangu ya mayai lakini mzigo napata kwa kusuasua....Mwenye nayo naomba anipe bei nzuri na uwezo wake kunisupply...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tafazali wadau nataka kujua bei ya vitunguu maji na swaumu huko ulipo bei ya sokoni
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Dagaa ni safi na wana ladha nzuri. Bei ni jumla na rejareja, unaletewa ulipo kutokana na idadi utakayochukua. Niko Makumbusho Dar. 0755865251
0 Reactions
13 Replies
4K Views
4Corners Alliance Group ni kampuni inayotokana na kampuni mama ya Cornerstone LLC iliyopo Las Vegas Marekani. Imeanzishwa mwaka 2012 na mwanzilishi wake akiwa ni David Harrison ambaye alikuwa ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom