Salamu !nataka Nianzishe Kilimo Cha Umwagiliaji Maeneo Ya Wazi Na Pia Nilime Kwa Kutumia Green House.nimekutana Na Changamoto Ya Maji Na Nikaamua Nitafute Mbinu Ya Kua Na Kisima Kirefu Ili Kua Na...
Harini wadau wa JF,
Nina shamba ekari 50 zenye rutuba maeneo ya Jaribu Rufiji, mimi sina muda wa kufuatatilia/ au kuendeleza, natafuta mtu mwenye nia, mtaji wangu uwe ni shamba, yeye aendeleze...
Mimi ni kijana ambaye ninasoma chuo kikuu kwa sasa nilikuwa nahitaji mkopo wa Tsh 4ml kwa ajili ya mtaji wa biashara ambayo nimeibuni. Sasa tatizo sina kitu ambacho namiliki kwaajili ya kuviweka...
Nataka mtaji, mimi nina Diploma ya IT na ni mtaalamu sana kufunga CCTV Camera, kwahiyo nikipata mtu akiniwezesha nitashukuru au akinitafutia kazi ili nipate mtaji.
Ni nafasi ya kipekee kwetu sisi vijana kwa kujiajiri kwa mtaji wako mdogo sana wa tsh elfu 40 na kutengeneza zaidi ya usd 500000. Check me on 0759 116066
Habarini wapendwa,
Mimi ni mjasiliamali mpya kabisa na nataka kuanza na kuku wa kisasa wa mayai hivyo naomba mnisaidie yafuatayo,
Nataka kuanza na kuku 500(vifaranga) nahitaji mtaji kiasi...
Habari wana jamii. Ninahitaji eneo kubwa popote nchini ambalo nitauziwa kwa bei poa ili nichimbe bwawa kubwa la kuvunia maji ya mvua kwa ajili ya kilimo. Naweza pata wapi ndugu zangu. MI ninaishi...
Ajira zimekua ngumu kupatikana siku hizi bila kujali unamjua nani au nini ukijuacho.
Hivi vitu kumi vitakusaidia kukuongezea ubunifu na kukuweka katika hali nzuri katika soko hili la kutafuta...
I've always wanted to be a designer and normally,hua nachora designs kisha nishonewe.many ppl including Taylors wenyewe wameniadvice nijifunze kushona...which I agree.
So,kwa yeyote anayejua...
Nauza na kufix accessories za computers kama....
Screen za Laptop
Battry za Laptop
Keyboards za Laptop
HDD za Laptops na Desktop
Ram memory both
Pc repairs & maintanence
Windows & Softwares...
Napenda kuwapa taarifa watanzania popote pale mlipo.......ninafanya ujasiliamali na ninawataarifu vijana wote na watu wa rika lolote waje tufanye ujasiliamali wenye tija na maendeleo yetu kwa...
kwa uhitaji wa mayai ya kuku wa kienyeji tsh10000 tray na ya kware tsh 12000 tray pia kwa uhitaji wa vifaranga chotara kutoka malawi na vifaranga vya kware na mambo mengine mengi kuhusu ufugaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.