Habari wana JF. Ndoto zangu ni kumiliki Garage.
Ningependa kujua yafuatayo
1.Gharama za kuanzisha Garage.
2.Sehemu nzuri kwa shughuli hii inapaswa iweje???
3.Usimamizi wa Garage upo vipi? maana...
Wadau wa kilimo hebu tuseme tunataka nini itufanyie serikali ya awamu ya tano. ni matatizo gani itutatulie na mambo gani ituboreshee? Mimi binafsi nahitaji kilio changu cha kila siku hapa chini...
Habari wanajf, Green world International Limited Company inapenda kuwatangazia watu wote wanapenda kufanya ujasiliamali kwa kianzio cha 30000/= kama mtaji wako wa biashara na kuwa millionea wa...
Green World Limited Company, inapenda kuwatangazia watu wote kuwa tarehe 29/08/2015 Itaandaa seminar kubwa sana ya ujasiliamali BURE bila kiingilio chochote kile, na seminar hii itafanyika...
Habari ya muda wana JF
Napenda kuomba ushauri wenu juu ya hili swala hapa
Nataka kulima maeneo ya dar es salaam
Na kiasi Hapo juuu msaada ndugu zangu
Asanteni
Jamani ningependa kujua bei ya bero la mashati ya kichina kama linàvyojulikana kwa wafanya biashara ya mitumba kwa Dar, maana huku Songea niliko ni TZS 800,000/=..
Au kama kuna mtu analijua basi...
Wapendwa naombeni kujuzwa nahitaji kufanya biashara ya vitenge wp nitapata vitenge kwajumla bila kuchakachuliwa nina mtaji wa mil 1 nataka niwe naviuza kwenye minada, naomba kujua changamoto zaizi...
Ninayombolea nzuri sana inayotengenezwa na wataalamu wa kilimo. Inafanya kazi zaidi ya booster. Lima mazao yoyote yale kisha tumia mbolea hii utapata faida kubwa sana.
KARIBU SANA TUJENGE UCHUMI...
Salamu iwe kwenu ndugu
Naomba kuzwa tu kwa wale ambao wanajua eneo zuri tanga la kulima mihogo ndugu zangu
Sana eneo la Tanga Jipe anayejua anijuze tafadhali
Asanteni
Heshima mbele wakuu,
Mimi na marafiki zangu wawili tunataka kuanzisha kampuni na tunataka Memorandum and articles of association,
Je, itatucost shilingi ngapi kwa wenye uzoefu au kama kuna...
Wakuu habari..
Mimi ni mjasiriamali. Ninataka nikasome hiyo kozi hapo juu UDSM kwa manufaa yangu binafsi kama mjasiriamali. Je, kuna ajira huwa zinatoka kwa cheti cha hiyo PGDEE? Binafsi...
Niko Dodoma karibu na chuo nataka kufungua saloon ya kike na msimamizi mzuri nitamleta. Nataka nipate uzoefu kwa waliofanya hii biashara ya saloon ukilinganisha na duka la cosmetics mauzo yake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.