Mafunzo ya kutengeneza automatic incubator (mashine inayo jiendesha yenyewe ya kutotolea vifaranga

Transistor

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
970
1,461
Mafunzo ya wale wanao taka kujifunza namna
 
Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    17.2 KB · Views: 809
  • IMG_20150507_105145.jpg
    IMG_20150507_105145.jpg
    33.2 KB · Views: 674
Mafunzo ya wale wanao taka kujifunza namna ya kutengeneza automatic incubators (Mashine za kutotolea vifaranga VYA KANGA,KUKU,MWEWE N.K)
View attachment 284837View attachment 284838

Tunawataarifu kuwa mafunzo haya yatafanyika kuanzia tarehe 19/10/2015

Kwa wale wote watakao taka kuhudhuria mafunzo haya wanaweza kuja kuchukua form kituo chetu cha mafunzo cha ukonga mzambarauni.
 
Kiongoz Weken Vituo Sehem Tofauti Tofauti Ili Mpate Watu Wengi Coz Sio Kila M2 Atweza Kufika KWenye Ofisi Zenu.
 
Mafunzo ya wale wanao taka kujifunza namna ya kutengeneza automatic incubators (Mashine za kutotolea vifaranga VYA KANGA,KUKU,MWEWE N.K)
View attachment 284837View attachment 284838

Tunawataarifu kuwa mafunzo haya yatafanyika kuanzia tarehe 19/10/2015

Kwa wale wote watakao taka kuhudhuria mafunzo haya wanaweza kuja kuchukua form kituo chetu cha mafunzo cha ukonga mzambarauni.

Incubator mnauzaje? Mayai 500
 
Wekeni kituo mwanza jamani,mafunzo yanachukua muda gani?, na ada yake ni ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom