Fursa zipi zipatikanazo kwa wajasiriamali pindi kiwanda cha cement kifunguliwapo?

anti-fisadi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
368
31
habarini wadau,

Pengine katika kujiongezea upeo, kwa wale wenye exposure zaidi. Ningependa kujua fursa zipatikanapo kwa wajasiriamali wadogo kwa wakubwa, maana nchini kumekuwa na viwanda vingi vya cement vinafunguliwa katika mikoa tofauti
 
Back
Top Bottom