Msaada namna ya kufungua kampuni!

Msaada namna ya kufungua kampuni!

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Habari wandugu natumaini mko poa,nilikuwa nataka kufungua kampuni langu,nilikuwa nahitaji mtu ambaye anaweza akanisaidia kufungua,ningependa anitajie gharama zote zinazoitajika ili kukamilisha usajili mzima wa kampuni,kwa anayefahamu anicheki iwe ni kampuni au mtu binafsi tuwasiliane!
 
Back
Top Bottom