Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda ametembelea Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Ofisi hiyo pamoja na Taasisi zake...
0 Reactions
4 Replies
345 Views
Niende mojamoja kwenye mada nina Gunia 100 (KULINGANA NA MTAJI WANGU UKIHITAJI NIKUKUSANYIE PIA SAWA) ya pumba za mahindi nauza kg moja sh 80 niko kanda ya ziwa kwa anayehitaji tufanye biashara...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika harakati zetu Rubaba Media kuelimisha na kushauri wakulima na wafugaji kote nchini, tukishitikiana na Koudijs safari yetu ya hivi karibuni ilitufikisha mkoani Mara — hasa maeneo ya Tarime...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Sehemu nilipo ardhi yake ni mchanga sana na mazao jamii ya mbogamboga hayastawi kwa sababu ya jua kali na udongo mchanga sana usiokuwa na rutuba. Ninataka kufanya kilimo biashara kwenye...
1 Reactions
1 Replies
343 Views
Kati ya nyanya aina ya DHAHABU F1 na tanzanite ni ipi Ina sifa nzuri?
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Kumekuwa na ufugaji mkubwa wa samaki katika Ziwa Victoria. Kwa takwimu nilizo nazo asilimia 80 ya wananchi wanaozunguka Ziwa Victoria kwa sasa wanatumia samaki hawa wa kufugwa kama chakula chao...
0 Reactions
5 Replies
606 Views
NYANYA ni zao linalopendwa kutumiwa, kunogesha chakula, chakula kilichowekwa NYANYA huwa na radha nzuri inayomvutia mlaji. Wakulima wengi hutamani kulima zao hili wengi huandika FAIDA na kusahau...
21 Reactions
855 Replies
277K Views
Nimekuwa nikifanya utafiti binafsi kwa kulima aina mbalimbali za mbegu za mahindi na kugundua yafuatayo. 1. ChapaTembo 719 Hii ni mbegu inayochukua muda mrefu kukomaa. Hukomaa baada ya miezi 4...
8 Reactions
19 Replies
10K Views
Naomba msahada wa wadau wanasafirisha mifugo au wanaofahamu wadau wa hizo kazi. Kutumia marolli kutoka mikoni kama singida, mbeya, njombe, moshi mwanza n.k. kuja dar es salaam. Kama kunamtu mwenye...
0 Reactions
1 Replies
362 Views
Simamia Ufugaji wako wa Kuku kwa Kutumia Fuga App leo na ukuze biashara yako ya ufugaji
2 Reactions
0 Replies
215 Views
Wana Jf Mimi ni kijana mwenye ndoto ya kutaka kushughulika na kilimo cha zao la vanila. Naomba mwenye uelewa kuhusu eneo linalostahili kilimo hicho, gharama na makadirio ya faida na hasara...
1 Reactions
0 Replies
196 Views
Utangulizi: Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Inahisiwa kuwa asili ya nyanya ni nchi ya Peru/Equador huko...
3 Reactions
309 Replies
214K Views
Wanajamvi habari za majukumu. Nataka kuanzisha mradi wa kilimo cha umwagiliaji wa mazao mbali mbali sasa nipo katika kufanya utafiti wa kutafuta pampu nzuri na bora kwaajili ya kazi twaja hapo...
3 Reactions
6 Replies
654 Views
Anza mdogo, lakini anza kwa akili. Kila hatua unayochukua leo inaweza kubadilisha kesho ya mradi wako wa kuku. Usifuge kwa kubahatisha tena - Fuga App inakupa taarifa sahihi, ratiba za lishe...
1 Reactions
0 Replies
186 Views
Wafugaji wa kuku Chukua majumba ya konokono yaunguze kisha uyasage upate unga. Tumia huo unga kuchanganya na chakula cha kuku wako—ni msaada wa kuongeza calcium kwa kuku. Ni nzuri sana! Mdharau...
3 Reactions
9 Replies
938 Views
  • Poll Poll
Je kuna faida na hasara gani ya metabolized energy ikiwa kubwa au ndogo kwenye chakula cha samaki sato
0 Reactions
1 Replies
255 Views
Habarini Wapambanaji Naomba kuuliza wafugaji wa mbuzi wa nyama kibiashara unalipa kweli au ni watu wanafuga kimazoea? Naombeni majibu in calculation wise maana huyu ndugu yangu kanishika tufuge...
4 Reactions
54 Replies
8K Views
Habari wadau, nipo Singida nina uhitaji wa idadi hiyo ya vifaranga vya chotara hasa hasa sasso, wenye umri wa siku moja . Kwa wazalishaji na wauzaji nahitaji Na wasilisha. N.B 1. kipaumbele...
1 Reactions
4 Replies
467 Views
Nahitaji kufuga kuku wa kienyeji lakini nahitaji kujua changamoto ambazo huwa zinajitokeza na namna ya kuziepuka.
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nilikua naomba ushauri nina shamba mkoa wa pwani. Mradi gani wa kuwekeza kati ya hii kilimo cha muda mfupi na aina, kilimo cha muda mrefu na aina na ufugaji upi.
0 Reactions
2 Replies
544 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…