Mimi nimkulima wa kawaida nataka nianze kutumia mbolea za madukani lakini kabla sijaanza kutumia nimeona si vyema kuacha kuwashrikisha wana jf maana humu kuna watalamu na wazoefu wa masuala ya...
Wajasiriamali habari zenu poleni na majukum ya kitaifa....Nina kiasi cha milioni moja na nusu bajeti hii naweza kuwalisha kuku na madawa mpaka watakapo anza kutaga?
Pesa ya kununua vifaranga...
Wasalaam!
Waungwana naombeni ushauri wa zao linalostawi zaidi kwa mikoa ya Pwani/ Tanga na lenye faida kwa mkulima. Zao lipi linafaa zaidi kati ya nanasi/ machungwa/ maembe mapapai?
Natanguliza...
Naomba ushauri wenu, kuku gani ni wa faida kwa dar, banda linaweza kunigharimu kiasi gani, nianze na kuku kiasi gani, kuku wa kampuni gani ni bora zaidi.
Nawasilisha
Katika pitapita zangu Leo mashambani nimekutana na mkulima moja akitumia sabuni ya Unga Kama dawa yakuuhuwa wadudu kwenye maindi anasema ni sumu Nzuri ya kuuhuwa wadudu kwa anaye fahamu zaidi je...
Kwenye kilimo cha mpunga hipi ni njia sahihi ya kupanda mpunga
Kumwaga kienyeji
Kupanda kwa punje
Kupandikiza
Naomba kujua maana nipo shamba sasa
0716671919
Ni ukweli usiopingika kwamba kupata faida katika kilimo kwa kufanya kilimo biashara kuna hitaji mambo mengi sana lakini katika vitu muhimu zaidi ni timing ya soko kwa zao husika.Wakulima wengi...
Ndugu zangu nataka kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya kwa kutumia Greenhouse. Anayefahamu gharama za kuandaa mwanzo mpaka mwisho anisadie kwa upande wa Morogoro.
Asanteni
Nataka kuingia kuanza ufugaji wa Kuku aina ya kroila ila tayari nina Kuku wa kienyeji kama 15 na kanga 22.Swali
1. Kuna madhara gani ya kuchanganya Kuku wa kroila na wa kienyeji?
2. Kuna mafhara...
Habari zenu. Mimi nafikiria kuwekeza kwenye kilimo. Natarajia kuwa mwekezaji wa kati, sio mkubwa kama azam au mdogo kabisa, ila wa kati. Nachotaka kufahamu ni kwamba, kilimo kinalipa tz sana sana...
Habari jf. Jamani nina changamoto ya fivo vya vifaranga kila ninapo jaribu kupiga hatua ya ufugaji wa kuku wa kienyeji, kanuni zote muhimu za ufugaji nazifwata, sasa sijui nakosea wapi?
Mtaalam nimerudi tena, naipenda kazi yangu kwa kuwa inagusa maisha ya watu wengi na Furaha kubwa ni pale unapoona utaalamu wako unasaidia wengine
Leo naomba nidokeze kidogo kuhusu uvunaji wa...
Ninazo kilo 60 za kinyesi cha popo sasa maelekezo ya matumizi yake kama mbolea shamba la mahindi yamekua mengi mno tofautitofauti mwenye uelewa sahh anisaidie
Habari za jioni wakuu,
Mimi naamini katika kilimo katika kuufikia uhuru wa kipato. Nimekuwa na ndoto ya kuwa miongoni mwa wakulima mwenye mafanikio makubwa.
Changamoto pekee inayonikabili mpaka...
Jamani huko vijijini watu wamekuwa wakitumia ulimbo kuwategea ndege wadogo mashambani au sehemu za vichaka ndege wengi wanapotua. Huo ulimbo unatokana na utomvu mzito wa miti fulani ambao...
Heshima kwenu wana JF, Mimi ni mfugaji mdogo Wa kuku Wa kienyeji kwa ajili ya mboga nyumbani, ufugaji huo nimeanza mwezi Wa nane mwaka huu. Lakini wiki iliyoisha kuku wameanza kuugua na wengine...
Wakuu habar zenu, nina vifaranga vyangu vya kuchi vimetotolewa jana,kuna mtu alinipa dawa za kuwapa ila nimeshindwa kujua namna gani ya kuwachanganyia. Amenipa Neoxychick kanambia niwachanganyie...