Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Salaam wanabodi Naomba link ya kujoin whatsap group la wafugaji wa ng'ombe na mbuzi, Nategemea kuanza ufugaji, hivyo nahitaji maarifa kutoka kwa wafugaji na wadau kutoka huko. Nategemea msaada...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Msaada wakuu. Namsaidiaje huyu Kuku? Nimekuta ana JICHO lina tongotongo linaziba, amekosa raha kabisa hata kula yake ya shida.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada wakuu. Namsaidiaje huyu Kuku? Nimekuta ana JICHO lina tongotongo linaziba, amekosa raha kabisa hata kula yake ya shida
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimenunua ng'ombe wale wa machinjioni sijui historia yake km amepewa dawa au VP naomba msaada nimpe nini kwa kuanzia,haonyeshi dalili za kuumwa.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari ya Eid, naomba kujua nitakapopata miche ya miembe ya mda mfupi,, hapa dsm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau wa JF: Kwa wenye utaalamu na hili, Nimenunua kuku nikamwandaa vizuri na kumpika kwa takribani dakika 50 au saa 1. Nimeshangaa baada ya kuchukua nyama nimekutana na minyoo ikiwa hai...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Unaitwa Lucerne au Alfa alfa kwa wale wafugaji nadhan mtakuwa mnaupata!
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kwa wakulima wa morogoro nisaidieni bei ya mbegu za nyanya aina ya eden shanty na assila
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Nilitamani kufuga kuku wa kienyeji ili nivune mazao yao. Changamoto ninayoipata ni wadudu jamii ya utitiri. Yaani ukienda kuwafungulia banda lao unakumbana na utitiri wa kufa mtu. Hapa nilipo...
0 Reactions
51 Replies
13K Views
Wanabodi. Mbuzi wangu amezaa vitoto vitano( pichani) najiuliza hapa mbegu ni hilo dume lilipanda au huyu jike Kimsingi dume hata silifahamu na sijafuga dume .ili kuenedeleza kizazi hiki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania kuna upotoshaji mkubwa sana, wengi wetu ni waongo waongo sana. Penye ukweli tunapindisha. Ili ufuge kuku wa kienyeji, tena kwa banda la hali ya chini kabisa, ni lazima uwe na vitu...
15 Reactions
155 Replies
33K Views
Tanzania kuna upotoshaji mkubwa sana, wengi wetu ni waongo waongo sana. Penye ukweli tunapindisha. Ili ufuge kuku wa kienyeji, tena kwa banda la hali ya chini kabisa, ni lazima uwe na vitu...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Kama kichwa Cha habari, nimefuga kuku (KROILER)kwa ajili ya biashara Ni mwaka Sasa lakini bado faida siioni na changamoto hasa magonjwa Ni kubwa sana. Hi niliplan iwe project A na nilikuwa pia...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Kwema wadau! Nina kama M 1 nataka kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya ila sina uzoefu sana kwenye hiyo mambo kama kuna muelewa anayefahamu kilimo hicho anipe mwanga nisije ingia choo cha kike...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habarini na poleni na mihangaiko ya hapa na pale... Wakuu nilikuwa nakijimtaji cha laki 5 hapa , na mwaka huu nataka kufuga kuku wa kienyeji, na baadaye nije nichanganye na chotara au...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Wakuu habari zenu Nina tatizo la kuku kudonoana sana.hali ni mbaya wanadonoana kiasi napoeza kuku wengi kwa vifo baada ya kudonolewa zenyewe kwa zenyewe kuku wana umri wa miezi miwili ni kuku wa...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Karibu katika secta ya ufugaji wa samaki
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu kwa wle wafugaji wa broilers wazoef kuna mtu alinambia kuna dawa ya kuchanganya katika chakula cha kuku kinachowakuza kwa wiki 3 wanakua tayar kwa kuuzwa, kwa anayeifaham hiyo dawa naomba...
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Hivi karibuni biasharz ya sangara imekuwa kubwa sana mpaka bei ya kilomoja imefikia Tsh 5000 huku mawenzi mkoani Morogoro. Nimedadisi nimeambiwa ni kutokana na mautumbo ya koromeo (Bondo) ni...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mpenzi msomaji wa blog hii leo napenda nikuletee kitu kingine tofauti kidogo na ambacho blog nyingi za kilimo, ntapenda kukuletea baadhi ya vifaa ambavyo hutumika shambani hivyo wewe kama mkulima...
3 Reactions
8 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…