MKWANO
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 221
- 153
Kama kichwa Cha habari, nimefuga kuku (KROILER)kwa ajili ya biashara Ni mwaka Sasa lakini bado faida siioni na changamoto hasa magonjwa Ni kubwa sana.
Hi niliplan iwe project A na nilikuwa pia nawaza kuwa na project B. ninacho waza Ni kufuga mbwa kwa ajili ya biashara na nimefanikiwa kuwa na mbwa watatu( puppies) Aina ya RABLADOR. Nitajikita na RABLADOR pamoja na G.s ( nitanunua wawili) ili jumla wawe watano
-Je changamoto kubwa Ni Nini kwa mbwa?
- Soko lake likoje?
Mawazo na ushauri wenu mhimu Sana